[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko na hela ngapi hapo tukusamehe..π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah anisamehe..
Huyo ni kaka yangu mkubwa wa damu.
Basi mnipige mnada tuπUko na hela ngapi hapo tukusamehe..π
unaonekana unatembea si mchezo, Picha ile juu kama ulikua unatembea na sasa hivi upo hapa basi we huhitaji kwenda GYM π
ππππ Is it is NO, is its Possible ? YES, Is Doing Business easy ? No, ................. ππππ huu msemo wa ku download pesa ndio unachomoa wengi sokoni.. lingine hilo
Mi wala huwa sielewi. Tulifika fikaje kwenye mke mmoja wakati miamba ya imani mingi tu katika Agano la kale ilikuwa na wake wengi? Ni kweli mtu atakwenda motoni kwa kuoa mke zaidi ya mmoja? Akina Solomoni waliooa wake 700 wao itakuwaje au kwa vile wao walikuwa wanaishi katika sheria na siyo Neema ya Yesu?Wakristo wangeruhusu wake zaidi ya mmoja maana mwanaume tunapenda vitu tofauti tofauti kwa wanawake au mtaalamu unasemaje
mhhhοΌ kweli kila mtu na ladha yake ππππππ.Mi wala huwa sielewi. Tulifika fikaje kwenye mke mmoja wakati miamba ya imani mingi tu katika Agano la kale ilikuwa na wake wengi? Ni kweli mtu atakwenda motoni kwa kuoa mke zaidi ya mmoja? Akina Solomoni waliooa wake 700 wao itakuwaje au kwa vile wao walikuwa wanaishi katika sheria na siyo Neema ya Yesu?
Imagine unakuwa nao wanne kama wa huyu mwamba hapa dah! [emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2121095
C'est la vie ........ Bon AppΓ©tit.
Kwani ulikuwa hujui hilo mkuu? Mbona liko obvious sana?! [emoji15][emoji15]mhhhοΌ kweli kila mtu na ladha yake ππππππ.
Jongea hapo, ukipata mnunuzi malipo watume kwa m pesaBasi mnipige mnada tuπ
ndio mkuu, nimekazia π, so nazidi ku elewa na ku confirm, na kuheshimu kila raha ya mkulungwaπ ,at the end of the day kila mtu a enjoy anachopenda bila shida.Kwani ulikuwa hujui hilo mkuu? Mbona liko obvious sana?! [emoji15][emoji15]
πππ Peponi kama kawa tunaingia.. Hatari ya wake wengi ni ule muunganiko wa nafsi.. kama wakiwa na backgrounda mbaya ya miungu miovu, wanaweza hamisha moyo wako.. mwanamke ana nguvu.. hayo ndio majanga yalimkuta kijana Solomon.. Mke mmoja kazi inahitaji ujitoe ufahamu kweli π π πMi wala huwa sielewi. Tulifika fikaje kwenye mke mmoja wakati miamba ya imani mingi tu katika Agano la kale ilikuwa na wake wengi? Ni kweli mtu atakwenda motoni kwa kuoa mke zaidi ya mmoja? Akina Solomoni waliooa wake 700 wao itakuwaje au kwa vile wao walikuwa wanaishi katika sheria na siyo Neema ya Yesu?
Imagine unakuwa nao wanne kama wa huyu mwamba hapa dah! [emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2121095
Merci πC'est la vie ........ Bon AppΓ©tit.
Kesho ukipita mitaa hii unijulishe mapema!
Combinenga mkuu.. sio kila siku kitimoto.. siku ingine kondoo siku ingine swala, siku ingine fisi siku ingine mambamhhhοΌ kweli kila mtu na ladha yake ππππππ.