Mwili mbona umekaa mkao kabisa huo unataka ubaki kimbao mbaoWeee....embu nishauri nipunguze zaidi mwili ukate bana[emoji43]
Tupia hata ukucha tu.. inatosha.. mie natupiamo wala hakuna shida πππππ.. ewaaa bibi alie changamkaNikitupia kidole gumba nayo pia si selfie...???π
Ila nikitupia na wewe unatupia.... tukubaliane vivyo...
Ila Kasinde sio Shangazi ni bibi.
Thanks 9.8ms squared βΊ Inshallah Mungu akasikie πNakukubali sana mkuu.. Mungu akupe maisha marefu.. upo simple short and clear πͺπͺπͺπͺ
πππππHuogopi kabisa kuweka hizo emoji?
Zaidi ya pigo za kitasha.. mtu mwenye roho nyeupe utamjua tu mkuu.. mkuu hapo roho yake nyeupe pee.. watu wa hivi hata maisha huwa wanafanikiwa sana..Dawa Sana , all in all nakukubali Sana una pigo za kitasha
Not kimbao mbao....just FIT! Ngoja siku nikifikia malengo utaniambia πMwili mbona umekaa mkao kabisa huo unataka ubaki kimbao mbao
Hapo ulipo umaintain hapo hapoNot kimbao mbao....just FIT! Ngoja siku nikifikia malengo utaniambia [emoji57]
Kweli Kaka I see it in her.. oya nipe maagizo kwa Antonia wako pale caskZaidi ya pigo za kitasha.. mtu mwenye roho nyeupe utamjua tu mkuu.. mkuu hapo roho yake nyeupe pee.. watu wa hivi hata maisha huwa wanafanikiwa sana..
Wewe huyuhuyu?πππππ
KhaaaYale hayaachiki dada [emoji125][emoji125]
Nilikuwa nimemsahahu.. nime kamis kampenzi kangu.. code mandevu mwenye noah nyeusi anamsalimia akishindwa elewa mandevu geita anamsalimia.. ukikutana na naomi muambie Levi ana msalimia ππππ.Kweli Kaka I see it in her.. oya nipe maagizo kwa Antonia wako pale cask
πππ alfu kama shuka langu mbonaaa π€π€π€ au tunaishi kwenye apartment moja1 2 3 4 5 6
View attachment 2120443
Ikifika 10 naidelete....
Mida mibovu hii, neti ishashushwa π .
πππππWewe huyuhuyu?
Shem visu vya nn tena,, makubaliano yalikuwa visu vyatumiwa kukata nyanya jikoniKuna utani mwingine wa kisen.ge sana huwa natamani hata nichome mtu kisu akafie mbele!
πππ alfu kama shuka langu mbonaaa π€π€π€ au tunaishi kwenye apartment moja
ππππππππ.. anonymous muhimu sana.. mapaparazi wengi wasije tega vya kutega siku ya siku ukajikuta font page kwenye thread ya selfikaOohhoooooo usiendelee mbele anonymous ndo mpango mzima humu. ππππ
Yawezekana kabisa tunapishana parking na kupigana bumping on the way...ππ