Mazalia ya mbu hayapo, dawa ya kupuliza haifai kwa sababu sehemu za kuingilia zipo kibao kwa hiyo unaua hawa wanaingia wengine...suluhisho kwangu mimi ni net tu hata kula muda mwingine nalia kwenye net[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mazingira yako kuhakikisha yapo clean na yanayo zunguka home + plus dawa kupuliza mazingira kuuwa wadudu na mazalia yake a. k. a fumigation
hahahaha.ile hifadhi muhimu
duhMazalia ya mbu hayapo, dawa ya kupuliza haifai kwa sababu sehemu za kuingilia zipo kibao kwa hiyo unaua hawa wanaingia wengine...suluhisho kwangu mimi ni net tu hata kula muda mwingine nalia kwenye net[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nipo doriahaya lala unono.. nipo. lindo
Pole kama kuna maingilio ndio mtihani.. ila hapa nilipo huwa ikipigwa fumigation hakunaga mmbu wala bibi yake na mbu na maingilio yapo.. sijui wanapiga dawa gani hapo kwakoMazalia ya mbu hayapo, dawa ya kupuliza haifai kwa sababu sehemu za kuingilia zipo kibao kwa hiyo unaua hawa wanaingia wengine...suluhisho kwangu mimi ni net tu hata kula muda mwingine nalia kwenye net[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
enjoy.. leo nimeshikwa shati.. sitokinipo doria
Mkuu unashangaa[emoji28][emoji28][emoji28]
😀😀😊.. ile hifadhi ya kipekee sana.. imejitoshelezahahahaha.ile hifadhi muhimu
Duhshukrani kwa info.acha nisogee hapo,meeda kulia kn kipub cha love kipo?
🙄🙄🙄🙄 na wewe member dah! itakuwa tushaonana... maama kipindi nakaa hapo around kalikuwa sana na saloon yangu ya hapo mbele wanatazamana 😀😀Duh
Hadi kwa love[emoji848]
Ndio nimetokapo
😂😂😂😂😂😂😂😂 msumari wa motoWigelekelo
Deeboyfrexh
Satoh Hirosh
mrangi
anasbo
_KINGO_
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Sawa baba paroko tutalifanyia kazi hili😅Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.
Wigelekelo
Deeboyfrexh
Satoh Hirosh
Kimsingi ni kweli, mapato kama yote kwake mtoto wa watu hana baya😅Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.
Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
Deeboyfrexh
Wigelekelo
Satoh Hirosh
Wazii wamche bwana tu wapate mavuno mema ya husband materialBinti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
Wigelekelo
Deeboyfrexh
Satoh Hirosh
mpaka mida hii ni bila bila.
Was so ameizingggggg dia Nimeenjoy to the fullest!!🤸🤸🤸🤸🤸♥️♥️♥️♥️How was your Valentine's my dear