Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

The best way to see this book is as a literal, powerful description of the romantic and sensual love between a man and a woman, observing both their courtship and their marriage. It does not give us a smooth chronological story, beginning with the introduction of the couple to one another and ending with their married life together. Instead, it is a collection of “snapshots” of their courting and married life, with the pictures not necessarily in order.
unaandika kitu kile kile.. tunazunguka pale pale.. biblia ina side kadhaa.. ila major side ni Mungu.. minor side ni mwadamu. ingawa kuna side za hizo
 
Hzo ni baadhi ya quotes from commentator from different centuries wakielezea song of song verse ya kwanza,, the most accepted theory ni kwamba its among 1000+ songs of Solomon ambayo ni drama yenye ina character 3 maiden,, binti wa yerusalemu na mfugaji kondoo,,,ukisoma vizuri hasa kwa KJV utaona some verses are for "him" "her" na binti wa yerusalemu

Tatizo linakuja je character hao ni wa kina nani?? Wengi husema king Solomon naye ni muhisika kwenye hyo drama sababu ametajwa

The young man is often called the Beloved and is generally identified with Solomon. It’s curious that God used Solomon to write this, because in the big picture he miserably failed the tests of love and romance. Believing that the Song of Solomon really is by Solomon, we are left with difficult and perhaps unanswerable questions, such as: What is the occasion upon which it was written? Who is the woman so passionately loved by this man who ended with 700 wives and 300 concubines (1 Kings 11:3)? Why was this exceedingly wise man not wise enough to keep his affections for this special maiden alone?

Generally song of songs kina maswali mengi bado,,,
Nimesona theology kwa sehemu sijui kila kitu ila walimu wote hawajawai niachia utata kwenye hicho kitabu.. Upo sahihi na hao pia wapo sahihi kwa watu wao ambao walikuwa wanafundisha.. Point kubwa unaipima scripture kwa namba gani imejenga roho ya mtu mbele za Mungu.. kama haina ujengaji au picha ya Kristo kuumbika hiyo ni void
 
Nimesona theology kwa sehemu sijui kila kitu ila walimu wote hawajawai niachia utata kwenye hicho kitabu.. Upo sahihi na hao pia wapo sahihi kwa watu wao ambao walikuwa wanafundisha.. Point kubwa unaipima scripture kwa namba gani imejenga roho ya mtu mbele za Mungu.. kama haina ujengaji au picha ya Kristo kuumbika hiyo ni void
Correct me if i am wrong,,, so illustration of sensual relationship ni void ?
 
Hahaa!! Naona leo unavunja chaga msukuma!!!
Nishazeeka mimi Boss Lady. Mambo ya kuvunja chaga ni yenu vijana. Ni wakati wenu huu!
IMG_20180930_174449_790.jpg
 
Writen by solomon,, it's Hebrew ofcourse all books of old testament were written kwa kihebrania kasoro some parts of daniel na other book,,, kilichoandikwa baada ya Israel kutoka uhamishon kurudi kujenga yerusalemu from Babel
Nimependa mjadala wako. Nimejifunza vitu. Tuache hii hatuwezi maliza 😀
 
Clear line of song of songs kama ni poetic explanation of the relationship between God to human Only, Human to human or human to God
Ninachotaka, roho iliyo mu inspire muandishi.. twende kwenye OG manuscripts.. baada ya hapo twende kwenye logos ya hicho ( andiko ), kabla hujaenda kwenye rhema.. kinacho tutofautisha hasa hapa ni kwenye rhema
 
Back
Top Bottom