Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hatujui ni nini lengo lake,,but all we know ni poetic illustration ya solomon, akiwa na mpenzi wake,,, sasa kutafsiri ndo kila mtu anaangukia upande wake,,, as long tafsiri yake sio dhambi ( kumsifia mkeo au kuhusisha poetic songs hizo kama majibizano kati yako na Mungu )
Ndio maana nimekuwambia upo sawa. Shule yangu niliyokula na walimu wangu walio nilisha chakula.. na mie mwenye katika makuzi yangu.. sijaona Solomon akimsia mke wake ambae ni mpenzi wake.. hata tukianza kuchambua verse to verses form ORIGINAL ya hicho kitabu.. ili tupate kitu.. maana twende tujue version ya kwanza la hiyo jarida na language ipi na kutokea hapo twende verse to verse..
 
Hii hapa statement imejibu kitu.. ambayo ilikuwa itokee toka kule juu..

Tukianza kwemda huku kwenye manuscripts.. hatutomaliza.. Jibu ni hiyo statement ambayo nime iquote kutoka kwako
Sijaquestion the authority of the Holy spirit, all i was tryn to say is,,, using song of songs as a poetic praise to your significant other sio dhambi
 
Ndio maana nimekuwambia upo sawa. Shule yangu niliyokula na walimu wangu walio nilisha chakula.. na mie mwenye katika makuzi yangu.. sijaona Solomon akimsia mke wake ambae ni mpenzi wake.. hata tukianza kuchambua verse to verses form ORIGINAL ya hicho kitabu.. ili tupate kitu.. maana twende tujue version ya kwanza la hiyo jarida na language ipi na kutokea hapo twende verse to verse..
Others embrace this book with great devotion but see it primarily as an allegory describing the love relationship between God and His people, not between a husband and wife. “The early Jewish rabbis taught that the book pictures God’s love for Israel. Early Christian writers took the same approach, but they replaced Israel with the Church. One writer in the third century wrote a ten-volume commentary on Song of Solomon, telling how the book describes God’s love for Christians.” (Estes)
 
Ndio maana nimekuwambia upo sawa. Shule yangu niliyokula na walimu wangu walio nilisha chakula.. na mie mwenye katika makuzi yangu.. sijaona Solomon akimsia mke wake ambae ni mpenzi wake.. hata tukianza kuchambua verse to verses form ORIGINAL ya hicho kitabu.. ili tupate kitu.. maana twende tujue version ya kwanza la hiyo jarida na language ipi na kutokea hapo twende verse to verse..
The best way to see this book is as a literal, powerful description of the romantic and sensual love between a man and a woman, observing both their courtship and their marriage. It does not give us a smooth chronological story, beginning with the introduction of the couple to one another and ending with their married life together. Instead, it is a collection of “snapshots” of their courting and married life, with the pictures not necessarily in order.
 
Yet, because God deliberately uses the marriage relationship as an illustration of the relationship that He has with His people, we find that this great song of songs illustrates the love, the intensity, and the beauty of relationship that should exist between God and the believer. This is clearly a secondary meaning, sublimated to the plain literal meaning, yet nevertheless valid and important
 
Jimbo ni lako mheshimiwa shemeji
Saasawa

Naam, Mama Pep atakupa mwongozo

Anafahamu na atakua mmoja wa wanakamati waandamizi

Mahari bado dada mkuu Heaven Sent na Chakorii wanapambana kuniafanyia negotiation

Negotiations ikiisha tukaafikiana ntatoa mapema.

So far nimekua quoted vitu vifuatavyo;-

1.Ng'ombe 5 madume wenye rangi nyeupe ambao dhamani yake ni Tshs.4,500,000. Na hapa nimeambiwa lazima nitoe hela ng'ombe haitajiki.
2. Tshs.900,000 Za Mama Mkwe.
3. Duvet 2 za wazazi.
4.Vitenge kulingana na idadi ya mashangazi (nimeambiwa wapo 7, vitenge wanasema lazima viwe vya uturuki)
5. Blanket 2 za Bibi
6.Trekta moja Majembe Mawili.
7. Mkaja wa mama (Huu sikujua ni nini, nimeuliza wakanambia unafanana na nyumba, wakasisitiza unauzwa kwa dollar, ni dala alfu moja mia saba themanini)
 
Yet, because God deliberately uses the marriage relationship as an illustration of the relationship that He has with His people, we find that this great song of songs illustrates the love, the intensity, and the beauty of relationship that should exist between God and the believer. This is clearly a secondary meaning, sublimated to the plain literal meaning, yet nevertheless valid and important
Bado unarudi pale pale nilichojibu comment yangu ya kwanza ya hii issue. ( nini kilicho nyuma ya kitabu au spirit iliyo push Solomon kuandika hicho jarida ) ukishapata history yake basi mjadala unakuwa umekwisha
 
The best way to see this book is as a literal, powerful description of the romantic and sensual love between a man and a woman, observing both their courtship and their marriage. It does not give us a smooth chronological story, beginning with the introduction of the couple to one another and ending with their married life together. Instead, it is a collection of “snapshots” of their courting and married life, with the pictures not necessarily in order.
Naona hapa tunazunguka mmbuyu 😊😊😊
 
Ndio maana nimekuwambia upo sawa. Shule yangu niliyokula na walimu wangu walio nilisha chakula.. na mie mwenye katika makuzi yangu.. sijaona Solomon akimsia mke wake ambae ni mpenzi wake.. hata tukianza kuchambua verse to verses form ORIGINAL ya hicho kitabu.. ili tupate kitu.. maana twende tujue version ya kwanza la hiyo jarida na language ipi na kutokea hapo twende verse to verse..
Hzo ni baadhi ya quotes from commentator from different centuries wakielezea song of song verse ya kwanza,, the most accepted theory ni kwamba its among 1000+ songs of Solomon ambayo ni drama yenye ina character 3 maiden,, binti wa yerusalemu na mfugaji kondoo,,,ukisoma vizuri hasa kwa KJV utaona some verses are for "him" "her" na binti wa yerusalemu

Tatizo linakuja je character hao ni wa kina nani?? Wengi husema king Solomon naye ni muhisika kwenye hyo drama sababu ametajwa

The young man is often called the Beloved and is generally identified with Solomon. It’s curious that God used Solomon to write this, because in the big picture he miserably failed the tests of love and romance. Believing that the Song of Solomon really is by Solomon, we are left with difficult and perhaps unanswerable questions, such as: What is the occasion upon which it was written? Who is the woman so passionately loved by this man who ended with 700 wives and 300 concubines (1 Kings 11:3)? Why was this exceedingly wise man not wise enough to keep his affections for this special maiden alone?

Generally song of songs kina maswali mengi bado,,,
 
Back
Top Bottom