Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usomaji wako wa biblia unaongozwa na nini mkurugenzi
Sometimes ukitaka kujua the context ya sermon yoyote ya yesu, kisa au kitabu flani,, kwenye bible,, huwa tunatumia bible commentary, inaelezea deep meaning ya section unayotafuta na history ya kitabu hcho,, huelezea pia maneno ya ukakasi kwa maana ya lugha mama ( kiyunani au kihebrania) mostly hutumiwa na wachungaji mafunzoni kipindi wanasoma theology,,,

Kwa context ya song of Solomon,, it's not fact kuwa mashahiri yanatumika kama illustration ya upendo wa mwanadamu kwa Mungu,, that's why ujumbe wake ni tofauti na vitabu vyenzake vya mashahiri ( ayubu, zaburi, mithali, muhubiri),, ndo maana kwa ndoa za kiyahudi kinatumiwa sana
 
Kukiona kimeeleza uhusiano wa Mungu na kanisa ( kanisa huonyeshwa kama mwanamke, au mwanamwali) ni sawa lakini pia kukiona kama maelezo ya uhusiano wa kimapenzi kati ya mume na mke au courtship ni sawa,,, because some commentary says ni story between solomon as a gentle shepherd na binti aliyempenda

Huonyesha story yao sio kwa mfuatano lakini kwa vipengele,, that's why ukisoma song of songs kwa NKJV ya (1978 if i am not mistaken) ina kipengele cha mashairi ya "him" and "her"
 
Sometimes ukitaka kujua the context ya sermon yoyote ya yesu, kisa au kitabu flani,, kwenye bible,, huwa tunatumia bible commentary, inaelezea deep meaning ya section unayotafuta na history ya kitabu hcho,, huelezea pia maneno ya ukakasi kwa maana ya lugha mama ( kiyunani au kihebrania) mostly hutumiwa na wachungaji mafunzoni kipindi wanasoma theology,,,

Kwa context ya song of Solomon,, it's not fact kuwa mashahiri yanatumika kama illustration ya upendo wa mwanadamu kwa Mungu,, that's why ujumbe wake ni tofauti na vitabu vyenzake vya mashahiri ( ayubu, zaburi, mithali, muhubiri),, ndo maana kwa ndoa za kiyahudi kinatumiwa sana

Ipi nafasi ya Roho Mtakatifu hapo? Somo ( masomo yote ya biblia na category zake ).. nini kinaanza kutangulia?
 
Unamkumbuka Josiah?? The 16th King of Judah?? Holy spirit anaweza fanya kazi kama kwa Josiah,, kwa kumdirect mtu kusoma sehemu nyingine for more understanding
Kwa view yako upo sawa, hujanipa upande wa view yangu. Biblia ( ni kumsanyiko wa maneno ya Mungu, maneno ya watu, maneno ya shetani etc). Nini kilikuwa nyuma ya Solom katika uandishi wa hicho kijarida ?
 
Screenshot_20220214-123224.jpg
 
Back
Top Bottom