Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah mi Msukuma bana! Tena chapa ya ng’ombe haswa!

Ila Wakenya hawafanani! Raila Odinga hafanani kabisa na Lulu Hassan!
Hao watu wa pwani Mombasa wa-exclude,hao ni km wabongo tu

Yeah I know wewe ni msukuma kitambo sn,nilikuwa naona ulivyokua unapigwa punches ukiongea Jambo lolote jema la magufuli enzi zile[emoji28]..Walikuwa wanakuita sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…