Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa nafika muda nywele zinanichosha, nanyoa, narudi zangu kwenye rough dread (imekuwa style yangu ya miaka mingi), ila sasa hivi nataka nitafute style nzuri tu ya kunyoa na bleach langu amazing. Nikiwaza bichwa langu sasa, na faza hauzi sijui atasemaje
Mimi hata sijui nilinyoaje jamani
Na sura zetu hizi
 
Mimi sijui kwanini huwa naamini bichwa langu zuri,ninyoe nisuke sawa tu..
Ila bleach kwa kweli siwezi kutia kichwani kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…