Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Jambo gani?Kaka yako
Ulimjulisha[emoji1787]
Kuhusu hilo jambo[emoji848]
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kula korosho??[emoji16]
Jambo gani?Kaka yako
Ulimjulisha[emoji1787]
Kuhusu hilo jambo[emoji848]
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mimi mwenyewe najifunza bado .Sasa hapa
Ndio umesemaje[emoji1787][emoji848]
Sijui nini kinanichanganya aisee [emoji23]Mwanzo umesema
Muda kama ule wa jana
Umebadilika tena[emoji848]
Drippin Doctor.... View attachment 2113867
Daah si ni life tu [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]pole Kwa kuvunjika moyo[emoji18][emoji18][emoji18]
Mkuu nakusalimia kwa jina la usiku wa jana.Aisee huyu mtu chake ,jana amenijazia sifa kede kede wakati sipo hivyo kabisa [emoji23].
Habari ya leo MkuuMkuu nakusalimia kwa jina la usiku wa jana.
Ile salamu nyingine, inayoanza kama hii siipendi kabisa.
Nakusalimia tu mkuu, wala sina lingine.Habari ya leo Mkuu
Ya jana yamekwisha
Anha vyema Mkuu .Nakusalimia tu mkuu, wala sina lingine.
Bila shaka hujamboAnha vyema Mkuu .
Nipo poa vipi weweBila shaka hujambo
mkuu na mimi usiache kunitag...ukiweka pichaNipo poa vipi wewe
Haya nikiweka picha itakaa muda mrefu next time .mkuu na mimi usiache kunitag...ukiweka picha
nikiiona mimi unaweza ukaitoa.....[emoji2]Haya nikiweka picha itakaa muda mrefu next time .
Mimi pia nipo poa.Nipo poa vipi wewe
Haha sawa Mkuunikiiona mimi unaweza ukaitoa.....[emoji2]