geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
ulipewa jibu?Niliwahi
Kuuliza![]()
Nitashukuru halafu ukinitag usifute dear wengine kuna muda kazi zinabana hadi hupati hata muda wa kushika simu halafu ukishika unakuta huku mambo yashakupita mia kidogoPicha yenyewe ilivyo sasa.
Ngoja siku nikipiga nyingine nikutag dear .


HapanaMnatutenga
Sana
DuhInawezekana ipo app ya kutoa emoji![]()
Yaani wakati picha inaload nilivyoona ni wewe nikajiandaa kukutana na bonge la guu. Dooh.
Ooh okay nitafanya hivyoNitashukuru halafu ukinitag usifute dear wengine kuna muda kazi zinabana hadi hupati hata muda wa kushika simu halafu ukishika unakuta huku mambo yashakupita mia kidogo
Japo najua hizo ni shida zangu ila ni ombi tu lakini
Au kama ukiona vigumu sana unaweza hata ukanitupia tu pm chap halafu inakuwa siri yangu![]()
Siku nyingine rafiki.Duh
Sasa itakuwaje
Rudia bhana
Sijaona
utasema haendi chooni

Mwanzo umesemaHapana ..
Siku yoyote tu

Sasa hapaHapana
Mimi mwenyewe proffiency yangu kwenye kingereza nipo elementary level


Kaka yako




