Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,138
Bora mimi mganga anadhuru, wewe aliekukataza hadhuru bwana
Kama vyako tena wewe mganga .
Bora mimi mganga anadhuru, wewe aliekukataza hadhuru bwana
Kama vyako tena wewe mganga .
Anadhuru piaBora mimi mganga anadhuru, wewe aliekukataza hadhuru bwana


Umezingua mkuu!Usinifanye nivunje mwiko ndugu,. Maisha matamu ujue
Next time MkuuMadhara yake sio moja kwa moja
Kwamba tunaotuma hatujipendi sio!!? Duuhh😳Mimi niki tuma ni soo, najipenda bwana
Sijazingua bwana, kawaida tuu.Umezingua mkuu!
Sitaki.😟😌Sijazingua bwana, kawaida tuu.
Mchana mwema kwako.
Hujaelewa,.nimekatazwa mimi kupiga picha leo, so nikifanya hivyo itakula kwangu.Kwamba tunaotuma hatujipendi sio!!? Duuhh![]()
Utajiju. ByeSitaki.![]()
Nasema sitakiiiiii!!Utajiju. Bye
Tulikubaliana ufanye coincidence nikutane au nipate namba ya Mdogo wetu yule mwenye √529 years oldWeee unanisapriz ujue!! hio shemeji kwa nani tena Mungu wangu
Niko njema ndugu !

Ahaaaaaaaaaa lol!! Nilisahau tatizo uzeee unisamehe bure!! dogo yuko poa ntakupa namba yake ujifanye umekosea upate pa kuanzia sawa?? Usiniangushe sasaTulikubaliana ufanye coincidence nikutane au nipate namba ya Mdogo wetu yule mwenye √529 years old![]()
Sitakiiiiii!Hujaelewa,.nimekatazwa mimi kupiga picha leo, so nikifanya hivyo itakula kwangu.
Mchana mwema tena.
Pepo una siti yako ya mbele kabisaAhaaaaaaaaaa lol!! Nilisahau tatizo uzeee unisamehe bure!! dogo yuko poa ntakupa namba yake ujifanye umekosea upate pa kuanzia sawa?? Usiniangushe sasa

😂🤣🤣🤣🤣 Fresh ✌️✌️✌️✌️✌️!Pepo una siti yako ya mbele kabisa![]()
Fanya kama unaituma PMFresh
!
PoapoaFanya kama unaituma PM