Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,892
- 37,869
Aya Asante [emoji120]Nikipiga nitakutag
Halafu wewe ndo umeombwa picha
Tumeni nyie kwanza!!!
Aya Asante [emoji120]Nikipiga nitakutag
Halafu wewe ndo umeombwa picha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio wewe bwana!!!Weee acha mambo yako nani huyo sasa??
LolAya Asante [emoji120]
Tumeni nyie kwanza!!!
Mi bahati mbaya sana siku ya jumatano nina udhuru siruhusiwi kupiga picha, mganga wangu ndio alinipa sharti hilo [emoji1][emoji1][emoji1]Lol
Nakusubiri wewe tu [emoji23]
Hahahaha jamani 😂😂Mi bahati mbaya sana siku ya jumatano nina udhuru siruhusiwi kupiga picha, mganga wangu ndio alinipa sharti hilo [emoji1][emoji1][emoji1]
Kweli yaani picha zangu zipo huku za kumwaga ila leo ndio changamoto hizoHahahaha jamani [emoji23][emoji23]
Mie nimeambiwa inatosha jana umeweka mbili subiri hadi nikupe ruhusa tena 😂😂.Kweli yaani picha zangu zipo huku za kumwaga ila leo ndio changamoto hizo
Sa nyie hamna udhuru, tuwekeeni basi
Haya tuma nawewe basi![emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio wewe bwana!!!
Mie nimeambiwa inatosha jana umeweka mbili subiri hadi nikupe ruhusa tena 😂😂.
Picha ya kawaida tu dearie .Weee kumbe jana nilipitwaa doh! Pendael fanya mambo jamani!
Jamanii jamani ndio tuseme niliikosa doh!!Picha ya kawaida tu dearie .
Visingizio tuuMie nimeambiwa inatosha jana umeweka mbili subiri hadi nikupe ruhusa tena [emoji23][emoji23].
Niliweka usiku sanaJamanii jamani ndio tuseme niliikosa doh!!
Unalala mno mapema labdaJamanii jamani ndio tuseme niliikosa doh!!
😂😂😂Visingizio tuu
Mim niña udhuru jamaniWeee kumbe jana nilipitwaa doh! Pendael fanya mambo jamani!
Saivi nipo macho haya tupiaUnalala mno mapema labda
Usinifanye nivunje mwiko ndugu,. Maisha matamu ujueMkuu weka basiiii
Mimi niki tuma ni soo, najipenda bwanaSaivi nipo macho haya tupia