Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Snap it.Show it😁😁😁
Ekc34.jpg
 
Mie kuna moja nilikuwa naitumia.. nilikuwa nakosa uvumilivu.. kwenye rasta nakaza moyo natembelea 150.. ambapo nilikuwa napoa ni kwenye humps kubwa.. kwenye rasta ukiwa mafuta sana usizikii sana kama ukiwa mdogo mdogo
Ni kweli ukiwa speed kubwa Rasta unafukia tu Ila hump kubwa lazma utulie halaf humps sijui tanroads hawana vipimo sawa maana maeneo mengine unakuta ni Kama tuta la viazi vitamu
 
Ni kweli ukiwa speed kubwa Rasta unafukia tu Ila hump kubwa lazma utulie halaf humps sijui tanroads hawana vipimo sawa maana maeneo mengine unakuta ni Kama tuta la viazi vitamu
Engineers wa Tanroad wanashinda mahala.. zile humps zilitakiwa nchi nzima ziwe na standard moja.. sasa kuna vituta unakuta havina afya ila vimechongoja kwa kwenda juuu.. lazima ukifika lazima uwe mnyenyekevu sanaa 😂😂😂.. nilisha haribu gari kwenye vile vituta vilikuwepo zamani kama unataka kutoka kwenye lile daraja ambalo liliharibika ( kuvunjika gairo)
 
Engineers wa Tanroad wanashinda mahala.. zile humps zilitakiwa nchi nzima ziwe na standard moja.. sasa kuna vituta unakuta havina afya ila vimechongoja kwa kwenda juuu.. lazima ukifika lazima uwe mnyenyekevu sanaa .. nilisha haribu gari kwenye vile vituta vilikuwepo zamani kama unataka kutoka kwenye lile daraja ambalo liliharibika ( kuvunjika gairo)
Kweli aisee vile vilivochongoka ukiwa speed kiasi vinaharibu Sana gari inatikisika kama tetemeko ukiwasema tanroads wanasema usiwaingilie kazi tutafika tumechoka sana
 
Back
Top Bottom