Binadamu ana macho mawili ya kawaida.... Yanayoona vitu vya kawaida kabisa visivyohitaji darubini ama hadubini kuona... Ndio macho tunayotumia kila siku kwenye maisha yetu kuona tunavyotaka kuviona na tusivyotaka kuviona pia.... Ni kupitia macho haya ndio tunaweza, kuangalia, kutazama na...