ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,133
[emoji8]
Nice
Nice
Yaaaniii amini usiamini nakujua kabisaa!!Mmmhh umeuona wapi sakayo[emoji3]
Wewe apo jamani..Sio mimi
Picha nitaweka mimi jamaniUsisahau kuweka picha....hehehe
Humu duniani kuna vitu vizuri ni balaa, ...ngoja nijitose pm, lolote liwalo na liwe
Nitaweka mwishoniiiiii kabisaaaaa
Hahahaha safiii
Okmsiniite mwanaume wa dar View attachment 1236052
Hapana hii picha imetumiwa kwenye social medias na websites zaidi ya 100 , kwa mujibu wa google[emoji33]we jamaa hacker?
😀😀Unatuzingua ndy shida yako..kule tunataka ishu makini!mmenifanyia figisu kunitoa kwenye uzi wa wazee wa kubet
Mkuu huyu mwana mama ni fundii [emoji4]Siku muruaView attachment 1236088
[emoji23][emoji23] me nimependa tu picha yake... Kwani huwa anajishuhulisha na nini?Mkuu huyu mwana mama ni fundii [emoji4]
Kwahiyo umeamua kwenda kuleta picha yake full?
Yeah nilikuunga mkono kidogo kipindi kile niko active sana na ule uzi wa mapampula walevi