Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha...mitaa gani hiyo? Maana mm kila kijana nae muona meno ya mbele siyaelewi
Sasa iyo Si ndio sign mkuu. Meno ya njano hii ndio culture etu man ..tena tunajivunia sana ani ..ukiniona tu unajua huyu ni chali ya ngaree au sololoo au kule mbwa chini

Karib Arusha mkuu ule maisha ..Siku hizi maji yamekaa furesh usiogope meno ya njano ..kama ni mademu wako wengi sana
 
We mganga ndiyo umeona uchi, mimi ninachoona ni bikini na nanasi.
Huna jicho la NNE

 
Sio lazima iniguse mimi moja kwa moja,lakini wapo wengi wanaotumia hizi gari wanaojisikia vibaya kwa kauli za kuanzia ile ya mkuu wa mkoa. Nimewawakirisha
Nimewawakirisha ✘
Nimewawakilisha


Naomba radhi kwa wenye vitz/iST kwa vile mi similiki hata baiskeli.
Ujumbe wangu: vitz/iST nayo ni magari kama magari mengine yapewe heshima
 
Back
Top Bottom