Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa iyo Si ndio sign mkuu. Meno ya njano hii ndio culture etu man ..tena tunajivunia sana ani ..ukiniona tu unajua huyu ni chali ya ngaree au sololoo au kule mbwa chini[emoji3][emoji3][emoji3]

Karib Arusha mkuu ule maisha ..Siku hizi maji yamekaa furesh usiogope meno ya njano ..kama ni mademu wako wengi sana[emoji41][emoji41][emoji41]
Dah mie Siipendi hua naihusisha na uvutaji bangi..Forgive me.
Ila kuna dogo kazaliwa kaanza kuota meno naona yanaanza kua Njano
 
[emoji113][emoji106]
20191016_224302.jpeg
20191016_224105.jpeg
 
Back
Top Bottom