Wewe ni muungwana sana. Ni wachache wa aina yako ktk Tz hii. Hongera kwa kujitambua


AhsanteMbona kitambi hakipo tena
Naona unanikimbiza kwa mbaaali
Mbona kama kumelokiwa eti jamanihalafu mbona hujanifanyia ile ziara?
Kina mazingira yakesometimes kuna mahali nakiacha
NakuonaWanasema : Bora huwe mpambanaji shambani kuliko mkulima vitani.
Kuwa dhaifu ni hatari mno.
Tunapigana na ule UPEPO
View attachment 1235748
Kamweneee....Nakuona
Hongera mnooo jamani
