Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Msidanganyike na stretch mie mwenyewe ni wale wale 🙈 Ndo naipambania flat tummy.... 😓 😓Same here, Ana body nzuri sana ..
mambo ya flat tummy wengine tumeyasahau muda .
Mwenzetu upo next levelMsidanganyike na stretch mie mwenyewe ni wale waleNdo naipambania flat tummy....
![]()
![]()
Tupo tunaopenda vitambi.. kuvishika hadi rahaMwenzetu upo next level
Hakika si mchezo unastahili pongezi .
Ngoja nikifikia malengo ntawaambia mnipe zawadi 😃Mwenzetu upo next level
Hakika si mchezo unastahili pongezi .
Tupo tunaopenda vitambi.. kuvishika hadi raha


raha hata kuvipapasa 😄😄
Endelea hivi kuvipenda vitambi hivi
Haya dada ,uje utupe feedback .Ngoja nikifikia malengo ntawaambia mnipe zawadi![]()
Mambo ndo haya sasaraha hata kuvipapasa![]()

hadi unapitiwa na ka usingizi 😊😊Mambo ndo haya sasa![]()
hadi unapitiwa na ka usingizi 😊😊
sanaaa yani, kuna raha yake 😊😊Ewah
Kumbe kuna watu mnathamini vitambi hivi .
Ooh vyema rafiki .sanaaa yani, kuna raha yake 😊😊
nipe sifa zaoUnawajua wanyaki wewe![]()
nipe sifa zao
mmmh si kweli,weka nikuone nijiridhisheWengi tuna sura za Baba zetu
baba nae ni mtuWengi tuna sura za Baba zetu
mmmh si kweli,weka nikuone nijiridhishe
baba nae ni mtu