Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

ha ha ha ha uchape usingizi

kwani huko ni usiku kumbe??

Ni Wanyaki Pure wa Kyela.
Ndo saa 12 jioni hapa nilipo. Hata dinner sijaanza kujipikilisha [emoji16][emoji16][emoji16]

Saa 9 usiku huko. Usingizi umegoma au uko safarini duniani huko kama kawaida yako?

Ungeishusha tu bana hata kwa sekunde 30
 
Back
Top Bottom