Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eehh si naona hapo Chakorii anakupima .teh kama kwenye muvi yani sterling anatakiwa kuokoa watu wawili at the same time ataanza na yupi hahahaa... Mahondaw siku zote ni Mtu wa kujitoa muhanga bana!
Ndo maana nilisema asisahau wewe ni chombo haswa…Kwamantic hiyo kitu kizuri hakitakiwi kupotea kwahiyo kuanza kukuokoa wewe hiyo ilikuwa ni obvious
 
Back
Top Bottom