Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sidhani kama ni Wasukuma wote. Na naamini kizazi hiki cha kisasa kitakuwa kwenye ukimbaumbau - usasa! Zamani kidogo ukioa ilipaswa utafute mwanamke mnene (japo kidogo), mrefu na ikiwezekana mweupe kidogo. Na wingi wa mahari ulitegemea vigezo hivyo kimaumbile.

Na haya mambo hayana fomyula mai furendi bali ni kila mtu na lwake. Kwangu mimi kwa kweli tangu namjua mwanamke ni mwendo wa ma Yutong tu. Na likiwa jeupe jeupe limefungasha umbo mkatiko hata mashamba ya ukoo nauza mimi. Mpaka uzeeni huku nishapambana mpaka na super extra Yutongs japo sasa kwa ajili ya umri kwenda sana nimeanza kuelemewa elemewa. Binafsi kwa kweli vimbaumbau hapana labda kujilazimisha tu

View attachment 2098708
loohh!sio kwa mfano hai huoo!!kuna kitu mmekumbuka acha tu nichekekumbe...sio wewe peke yako wasukuma wengi mpogo hvyoo!!ntasimulia next time!!ho
 
20220128_222839.jpg
 
Back
Top Bottom