Soon tyuuh, afu ni mwanafunzi wako sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vikao vinaanza lini?
Mie ndo napitwa tyuuh saiv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Irudiweeee irudiwe depal nifanyie saivi wengi hawapo jamani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa.... shortly asiwe na mambo mengi! Afu ajue kudekeza make kwa kudeka tu aaaaggghh sijambo! Mimi mambo ya kijeshi jeshi umafia aisee hapana kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mammmae....hapa lazima akojoeeeeee[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!
Kheeeeeeh vimini tena? Yameanza lini? [emoji102]
Acha kumsingizia shetani ujueutanionea kipenzi. Shetani anataka kunivuruga
Hebu jaribu bahati yako tuoneUmetoa boko.. acha mie nimention vyako hapa ππ
Ndiwoooo si unajua tena shos π€Έπ€Έπ€Έ!!wacha wee.
Naelewaaah shos angu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiwoooo si unajua tena shos [emoji1732][emoji1732][emoji1732]!!
πππππacha aniteke.nitakua salama
Unacheka nini sasa.nasubiri utoe jibu la swali ujuehahahaha
Kwanini dada mzuriHahahaaa... Mbona tulishakubaliana ile mchana injinia inaturudisha nyuma ujue! Huyo simuweziiiii ππ
πππok siwezi kubisha
Acha kuzugatulikubaliana vp ? Nikumbushe
Ndo yakufanye usahau mlivyokubalianaπmambo mengi rafiki
π€£π€£π€£Kuhusu wewe ππ, una beza mambo yanayo onekana complex, hupendi kujishulisha na issue complex, una ka uvivu flani πππ, una huruma sana japo sio mwepesi kutoa chozi πππ. Hupendi masumbufu.. upo selective katika watu.. huna kiburi.. chakula.. naendelea kutililika tu πππ
mtu chake naomba maoni yako hapa kipenziKuhusu wewe ππ, una beza mambo yanayo onekana complex, hupendi kujishulisha na issue complex, una ka uvivu flani πππ, una huruma sana japo sio mwepesi kutoa chozi πππ. Hupendi masumbufu.. upo selective katika watu.. huna kiburi.. chakula.. naendelea kutililika tu πππ
Hiyo ngoma itakupigisha sound tuπ€£π€£π€£π€£π€£ βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ najua humu tunataniana rafiki π€©π€©ππ!! Selfika basi!!