Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
ewaaa nipo available anytime ni wewe kuanza safari na kufika darasaniNiambie ratiba yako teacher ...
Nipo tayari kuanza muda wowote .
ewaaa nipo available anytime ni wewe kuanza safari na kufika darasaniNiambie ratiba yako teacher ...
Nipo tayari kuanza muda wowote .

Thanks dear HS…. Mtoto anaomba picha![]()
nimeona asee.. ule sasa ndio unafaa kwa kile kimini ili watu wakomeee 🙄🙄Aisee lile zigo kama kama mchovu huinui.
We mchombeze akubali kupandisha hapa uonee.
Ndiyo, lakini anapolala wewe ndiyo unatakiwe ujueSi ni shemeji yako lakini na jana mlikuwa mnanitafuta pamoja humu

Nitakujaewaaa nipo available anytime ni wewe kuanza safari na kufika darasani
ewaa.. unandaliwe chakula gani na kinywaji ganiNitakuja
Itakua mambo adharani shee, watu wana udhu ujue..nimeona asee.. ule sasa ndio unafaa kwa kile kimini ili watu wakomeee![]()
mtoto anatoka mlango wa home anaingia kwenye Bima mvuuu hadi Hyatt anashuka mvuu ndani kwenye mlo.. wavimba macho hawato muona.. sipati picha mtu chake atavyokuwa ana vimbaItakua mambo adharani shee, watu wana udhu ujue..
Shee nilidhani unamuita darasani kumbe mgahawani.ewaa.. unandaliwe chakula gani na kinywaji gani
HeeeNdiyo, lakini anapolala wewe ndiyo unatakiwe ujue![]()


Nilivyo foodie sasa 😅😅ewaa.. unandaliwe chakula gani na kinywaji gani
Hakuna kukomoana hapo mambo taratiiiiiibuuuu kwaraha zenu! 🙃nimeona asee.. ule sasa ndio unafaa kwa kile kimini ili watu wakomeee 🙄🙄
ewaaa fanya ukuje chap chap 😊😊😊Nilivyo foodie sasa 😅😅
Hapo ndo penyewe kula kwanza then kusoma baadae .
wenye roho zao mbaya lazima waumie.. ila mie nitakuwa nashabikia kabisaaa 😊😊Hakuna kukomoana hapo mambo taratiiiiiibuuuu kabisa! 🙃
Utashabikia nini wee mpambe!!?wenye roho zao mbaya lazima waumie.. ila mie nitakuwa nashabikia kabisaaa 😊😊