Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hiki ni kirusi eh ?dobroye utro tinsley
Naona kama ni lugha ngumu kujifunza .
Hiki ni kirusi eh ?dobroye utro tinsley
Naona Ushaconclude mwenyew akaahndio uachage sasa umeeleweka sio uzingue tena

Hapo kwenye kuinjoy hapo ndo penyewe!!utadeka na kuenjoy sana

hahahaha mambo gani? Mm mjeda raia cna mambo mengiAfu nasikia wajeda wana mambo yao wanayapenda sio kidogo! Sasa kuendana nahayo mambo bwana !!
hahahahahaNaona Ushaconclude mwenyew akaah![]()
yaani ww tuHapo kwenye kuinjoy hapo ndo penyewe!!![]()
Thanks dear HS…. Mtoto anaomba picha 👧Happy belated birthday miss D. Age gracefully
Hahahaaa......yaani ww tu
ewaa.. hapo ndio penyewe jioni ukifika unamuogesha mtoto wako mahondaw.. hapa navuta picha.. namna mnavyo ishi kwa furaha na upendo..ewa jogging mitaa ya regent estate.gym azura.jioni
Mambo ya mumeo uniulize mimi asubuhi yote hii?![]()

hahahaha.karibuHahahaaa......
Dah 🤣🤣🤣Mambo ya mumeo uniulize mimi asubuhi yote hii?![]()
hahahahaewaa.. hapo ndio penyewe jioni ukifika unamuogesha mtoto wako mahondaw.. hapa navuta picha.. namna mnavyo ishi kwa furaha na upendo..
usinisahahu kwenye ufalme wako
Mambo ya mumeo uniulize mimi asubuhi yote hii?![]()
Si ni shemeji yako lakini na jana mlikuwa mnanitafuta pamoja humuLeo naona umetuachia na wachelewaji tumeikuta.Hahahaaa......
ewaa.. hapo ndio penyewe jioni ukifika unamuogesha mtoto wako mahondaw.. hapa navuta picha.. namna mnavyo ishi kwa furaha na upendo..
usinisahahu kwenye ufalme wako
niliwaombea ruhusa .Leo naona umetuachia na wachelewaji tumeikuta.
Mash allah..
jacuzi tunaoga pamoja🤣🤣🤣🤣🤣!!mtu mzima kuogeshwa lol mbona balaa hilo! Labda kuoga pamoja ila kuogeshwa noma sanaaa asee! Yani mfano miye nimuogeshe huyo mzee nhihiiii!💃💃💃