Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
nanyimwa kuwa mateka kisa utoto wangu.. unafaidi ukiwa mkubwahahahaha
nanyimwa kuwa mateka kisa utoto wangu.. unafaidi ukiwa mkubwahahahaha
hahahahananyimwa kuwa mateka kisa utoto wangu.. unafaidi ukiwa mkubwa
Kula tano👊🏿ngumi au?
Mbona husemi nimetekana nawemnatekana tu
nikiwa mkubwa kama wewe na mitafaidihahahaha
Huyu ni mama mtumishi yupi?
Kula unenepe acha mambo ya ajabuwakubwa wana raha
Utakuwa na utapia mlo😁😁😁 kinajaa kichwa tuuu
Nikila mtoto wa mtu nitanenepa, nao hawataki 😬😬Kula unenepe acha mambo ya ajabu
☺️☺️☺️ umependaa eeehHuyu ni mama mtumishi yupi?
praise the LordNaam mkuu, shem 🙏
Ubarikiwe sana mtumishi mwenzangu shemeji
Kwanini shem..imekaa kikuda eeHii ukuda yako inanichekeshaga 🤣
We jamaa kweli ni mwembambaHatimae mda wa kurudi zizini umefikaView attachment 2096519
Vunga basihawaruhusu hao.. wameisha ni blacklist mie ni mtoto.. ndio maana nanyimwa fursa za kutekwa.. hawa warembo wana madharauu 😀😀😀
hahahahaNikila mtoto wa mtu nitanenepa, nao hawataki 😬😬
Be my guest 🤣🤣🤣Tulia wewee.. nitakutia kabali.. huku nashika mfukoni nikuibie simu
Haya ni mapito tu ,hakika tutavuka salama .
vitasa vyako haviwezi kuuuma, mie nitakua nakukumbatia tuuu 😀😀Be my guest 🤣🤣🤣
Utakula vitasa mnooo
🤣🤣 nimecheka kikudaKwanini shem..imekaa kikuda ee