Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
Tafuta upesi unakosa vingiMnapata raha eehna mie acha nutafute raha yangu hapa..
Tafuta upesi unakosa vingiMnapata raha eehna mie acha nutafute raha yangu hapa..
Morning to you my love.Good morning my pipo
Eee... Your love??Morning to you my love.
😀😀😀😀 haya rafiki.. acha niingie kwa kaisari na mie nitapata cha asubuhi hata huko barabaraniTafuta upesi unakosa vingi
Kila lenye heri likutangulie hukohaya rafiki.. acha niingie kwa kaisari na mie nitapata cha asubuhi hata huko barabarani
Yep in my dreams,why not.Eee... Your love??
Ewaaa sifa za wife material ( mama material) hizi.. lazima waachie baraka asubuhi safiii sanaaaaKila lenye heri likutangulie huko
Aah kumbe in your dreams...nimeshangaa siku zote hizi napigwa tu na baridi kumbe niko na mai lavu jamani na hamniambiiYep in my dreams why not.

Ewaaa sifa za wife material ( mama material) hizi.. lazima waachie baraka asubuhi safiii sanaaaa





Asubuhi mume anapiga magoti unamuwekea mikono kichwani unaachia maombi ya baraka na protection.. mtashangaaa familia ina prosper kila mahala 😊😊😊..
Kwa sababu ile potential yao ndo kazi waliyopewa kuifanya hapa duniani mpaka iwaguse watu walengwa waliotumwa kuwasaidia.Sijui kwanini watu potential hufa haraka
Khantwe ni jina la mwalimu wangu miaka ya hiyooo.Aah kumbe in your dreams...nimeshangaa siku zote hizi napigwa tu na baridi kumbe niko na mai lavu jamani na hamniambii![]()
Na ndio maana halisi ya msaidiziAsubuhi mume anapiga magoti unamuwekea mikono kichwani unaachia maombi ya baraka na protection.. mtashangaaa familia ina prosper kila mahala..
ewaaa... una akili weweeee hapo hata shetani kwenye nyumbaa haingiiNa ndio maana halisi ya msaidizi
Mmh inawezekana ni mimi mwenyeweKhantwe ni jina la mwalimu wangu miaka ya hiyooo.
😀😀😀 jana tume enjoy sana.. usiwaambie watu basi 😎😎😎 yaani ilikuwa Heaven on earthNiliwamiss mno jamani, nikamwambia 9.8ms squared aje awasalimu. Alichokijibu anakijua 😅😅
Huwa namwonyesha japo hiyo hapo niliweka tu na kutaka kutoa mara moja,,bahati mbaya usiku jf imezingua muda huo..nikawa nashindwa kuingia.Hivi alikuwa anajua kuwa utamweka huku wakati unampiga picha!
Yaani unapotea hadi siku unazaliwa we umepotea tuWowthank you so much dear SA.
Nipo mwaya…Mambo yanakwenda?





waoh.nimepokea huu ukaribisho kwa unyenyekevu na mikono miwili. Niseme tu nitakaribia
