ππ naiomba na account ya bank naiongezea nyingine.. alafu naanza zero.. baada ya mda naishangaza tena inajileta naitia mimba mapacha, ikizaaa mimba tenaaa hiyo ndio inakuwa adhabu yake ππππ nakuwa natia tu mimbaaa.. nashukuru Mungu sijawai kuwa na woga wa kuanza sifuri maisha, sijawa na woga wa kuchekwa ku fail maisha, sijawai kuwa na woga wakupungukiwa nipo radhi kuisha maisha yoyote for a season