Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
anatutesa kweli kweliSie wengine hatuoni jamani
anatutesa kweli kweliSie wengine hatuoni jamani
umependezaDoh upo zaidi ya fastaaaa😜😜😜!
Doh kumbe ulikua unamzoom kimya kimya 👈👈👈!😜umependeza
Mimi na HS, na pisi na Kipara 9.8 tutaingia magotini juu ya hili.Siku akipatikana baba mtumishi ninaimani kabisa ni lazima akosheke
Hili halina ubishi...maana atakua amepata pisi, mwana, mshikaji, na wakati huo huo mke...atajuta kuchelewa kunifahamu
hahahahaha,uko vzr rafikiWewe ni hatareeee haha ndani ya dakika sifuri ushaona mweh!
Oooh hah hah hah..Oh yee ye oyee, oh yee ye oyee)
Unanifaa sana
hatari sanaDoh kumbe ulikua unamzoom kimya kimya 👈👈👈!😜
Anajua sana tu angechelewa umngemlamba kofi or twoAnakuja sasa hivi
Nilipiga goti karibu mwaka mzima...hujawahi kujiuliza hizi sugu nakuaga nazo kwenye magoti ni za zilitoka wapi?Anaimba wimbo wa Alikiba huyo kaka🤣🤣🤣.
Jizazi amefanyaje?
Unanifaa sana eeehNilipiga goti, kwa Mungu, na dua ikafikaaa, haya maisha yangu na yeye akaridhike....eee
yaah! mkikogambana kama wapenzi, mnashift washkaji, kidogo mnakuwa wana.. kidogo mke yani nyumna mda wote inakuwa ya motooo.. sema utoto unaniponza nimekosa 😬😬😬Mimi na HS, na pisi na Kipara 9.8 tutaingia magotini juu ya hili.
Hili halina ubishi...maana atakua amepata pisi, mwana, mshikaji, na wakati huo huo mke.
🤣🤣🤣🤣🤣Anawafurahia wewe na msupu
akirudia niitemahondaw naomba irudiwe
shida anafuta harakaaa huyo dk 0.45 imeenda tayariakirudia niite
Unasema uongo ndugu yanguUnanifaa sana eeeh
Nasikia raha😉.
Ni wimbo wa Alikiba wanajamvi.