Selfika na JF: Snap it. Show it

jaman ko kumbe ni muongo, sasa ile siku alikazana mno na akasema ile birthday yake ilopita last December ndo anakamilisha 76yrs, woiiiiiiiih

Nweei post selfie yako bas.
weee sijasema nimuongo nimesema mimi ndio sikujua we binti unanitafutia balaa. Selfie nimeshapost sana hapa subiri siku nyingine nikifurahi
 
Nikitulia, ntaandika kagazeti
 
Nikitulia, ntaandika kagazeti
Haya nitakukuta acha nikalale..

Nijulishe, ee mpendwa wa nafsi yangu, Ni wapi utakapolisha kundi lako, Ni wapi utakapolilaza adhuhuri. Kwa nini niwe kama aliyefungiwa kidoto, Karibu na makundi ya wenzako?

Usipojua, wewe uliye mzuri katika wanawake, Shika njia uzifuate nyayo za kondoo, Na kuwalisha wana-mbuzi wako Karibu na hema za wachungaji.

Acha nijipumzishe na mpenzi wa nafsi yanguu 😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…