Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
wahi haraka nikupime πππππππ Nakuja fastaaa
wahi haraka nikupime πππππππ Nakuja fastaaa
Nilitaka kuhujumiwamahondaw lile jambo letu. Issa loose dress ofu kozi
Khantwe dada fundi
Mama sipitwi naomba upitweView attachment 2095389
Hiyo ya juu imeshonwa pamoja au amevalia ndanimahondaw lile jambo letu. Issa loose dress ofu kozi
Khantwe dada fundi
Mama sipitwi naomba upitweView attachment 2095389
Lol asante dia..Hapo lazima nichanganye na kitambaa au au hio shati amevalia kwa ndani tu???
Hiyo ya juu imeshonwa pamoja au amevalia ndani
kipastaaaa yaaani![]()
Duuuh!!Naomi namjua Ila Sina mazoea nae nitamuuliza,, aisee kwa bint ukishindwa kuchomoka na umesoma ni kujitakia tu..siku Ile nakwambia nipo na Antonia ndio huyo Dem anaitwa Sara alikua anatuhudumia Dem alikua Yuko vzr customer care ya uhakika jamaaa akamwachia tip laki mbili akampa pale pale email amtumie CV juzi juz tu Dem haamini kaambiwa akaripot job
πππ hawa kwanini wanakuhujumu jamani mdogo wanguuNilitaka kuhujumiwa
Ndani ya nyumbaa ππWeeeee
Ndani ya nyumbaa![]()
Mafundi tuna tabu jamani lohIli mradi tu kumsumbua fundi
Na mie nataka suit moja matata sanaaaMafundi tuna tabu jamani loh
Nipooo ππZawadi yako ilikupitaView attachment 2095459
DuhZawadi yake ingine nimeificha moyoni....zimekua mbili.
Ila huu moyo utapasuka sasa π€£π€£
Kumbe?
Basi ndo maana pale Ileje njia panda walikua wanashangilia kwa nguvu...
Nikadhani shangwe lote lile ilikua kwa hili bodyguard langu lenye miraba minne?
View attachment 2095164
Utanifikishia salamu zangu kwa Khantwe. Tutaonana mwakaniNipooo![]()
Utanifikishia salamu zangu kwa Khantwe. Tutaonana mwakani
πππππKwenda zako