Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulijuaje ninasifa na uzoefu katika kuwakarimu watu?hapo niko vizuri mno na Mara nyingine nikiamua kuutumia ulimi vizuri hachomoki mtu.

Siwezi kukuangusha kabisa kipenzi..hutojuta Kwa kunipa hilo jukumu.

Uende ukatulie sasa.

Hebu nikuulizee..umeogea maji gani umepata babe haraka namna hiyo…nipatie na mimi hayo maji tafwadhali
 
Nakujua ktk mambo ya ukaribisho uko vizuri,
Kutulia sasa hapo itategemea huyo mwenzangu anaishi na mie kwa kutumia akili au vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuhusu kupata babee haraka humu hata sijaoga maji yeyote ila bahati tyuuh kipendhii. Afu sio humu tyuuh hata uraiani utaskia "cocastic yaan yule fulan anasema anakupenda na kukubali sana" khaaah huwa nastaajabu afu unaluta huyo mtu hata sina mazoea nae hata.

Nimeshangaa watu wanafanya utafiti juu yangu afu mwenyewe hata sijui yaan lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…