Zawadi yake ingine nimeificha moyoni....zimekua mbili.Eeeh ngoja niwaache mtu na shemeji yake
Kumbe?......
Hiyo imekaa vizuri hasa ukitinga ile rangi ya mbogamboga π€£
Mlokole sana kaka yangu huyu.
Ana seat yake special mbinguni.
Kuna dalili zote utapasuka,maana na mimi si nimo humohumo moyoni na ndio nina nafasi kubwa,,,nasema uongo mtumishi?Zawadi yake ingine nimeificha moyoni....zimekua mbili.
Ila huu moyo utapasuka sasa π€£π€£
Chizi weweππππππππππKumbe?
Basi ndo maana pale Ileje njia panda walikua wanashangilia kwa nguvu...
Nikadhani shangwe lote lile ilikua kwa hili bodyguard langu lenye miraba minne?
Mtuacheπ€π€π€Wewe sasa na kaka yako
Shem mtumishi nipe kongole za kumiliki pisi kali yenye kiuno chake
Shem dada anakuaga kauzu...kuna dalili ya mtu kuoga makofi katikati ya harusi
Halafu nikisemaga una special seat Mbinguni watu huwa wana doubt
Nini lakiniπ€£π€£π€£π€£π€£Igweeeee Igweeee Igweee
Shemeji nakusalimu kutwa mara 3
Umetishaaaaa, umetishaaaaa, umetisha sanaaaaa.
Shikamoo shemeji
Halafu bado ipo zawadi ya Chakorii as well.Kuna dalili zote utapasuka,maana na mimi si nimo humohumo moyoni na ndio nina nafasi kubwa,,,nasema uongo mtumishi?
Ulikua mkutano wa kihistoria kweli....omeona hilo nyomi tulikusanya?Chizi weweππππππππππ
Eeeeeh!!Halafu bado ipo zawadi ya Chakorii as well.
____________________
Wewe sasa hivi umeingia hadi kwenye mfumo wa damu.
Nilifanya blood donation juzi nikakutwa nna group Anne
πππππππππUlikua mkutano wa kihistoria kweli....omeona hilo nyomi tulikusanya?
Ahsanteni watu wa Mbeya kwa ukarimu wenu
Hivi hakunaga jua kule?Waache watanijuta kule mimi ni mmoja wa ushers
Tobaaaaaaaaaaaaah weeWedding ???hyo ni giant leap from Andromeda to milkway
Kwakweli nahitaji pongezi. Kumiliki pisi kali......yet God-fearing, aisee it takes efforts.Igweeeee Igweeee Igweee
Shemeji nakusalimu kutwa mara 3
Umetishaaaaa, umetishaaaaa, umetisha sanaaaaa.
Shikamoo shemeji
Data zimekusanywa by observation na unstructured interview,,, na hazijaniangusha
Hakuna namna kama kukupenda ni dhambi.....basi kule kuzimu ntakua mwenyekiti wa ma bwana shambaEeeeeh!!
Umeupiga mwingi hadi umepaa
Wataninyoosha kinoma kumu expose bodyguard wangu na jina lake.πππππππππ
Siku ukiingia mikononi mwa kijani kibichi utasimulia
Kwakweli nahitaji pongezi. Kumiliki pisi kali......yet God-fearing, aisee it takes efforts.
Mtoto amsimamia ukucha utadhani anafanyaga squats for the past ten years
Mahabaamarahabaa mkuu shemeji
Hivi hakunaga jua kule?
Vijana kama akina 9.8ms squared unawapangia seat yenye jua kali.
Ananibania dadake kinoma
Nini lakini