Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sec hizo zote ukose wa kuongea nae?
Wallah huwezi amin zaidi ya family yangu na hivi nipo mbali[emoji3]wananikoma,,,

Asubuhi,,,,,,umeamkaje mama? Mwanao nipo salama

Mida ya saa 4,,,,,ushakunywa chai mama???

Mchana,,,,,za mida hii mama,umepika nini leo? Ushakula?

Jioni,,,umeshindaje?

Usiku,,,ushakula?? Umelala? au unatizama Tv? Mie nalala mama,nikutakie usiku mwema,,nimekumiss[emoji8]

Habari ya kumpigia mtu simu halafu baada ya salamu anakuuliza VIPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…