Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,867
- 147,322
Babu kanikataza,sitoki tenaKwani nani alikwambia utoke ndani, we una matatizo!!
Babu kanikataza,sitoki tenaKwani nani alikwambia utoke ndani, we una matatizo!!
Siendi babu,nalala mieMjukuu utakwenda kuumizwa. Huyo Ostaadh siyo mtu mzuri!
View attachment 2093676
[emoji2] Kituo ni ndoto kubwa ijayo.. Lakini muda haujatoa kibali..[emoji1545]Umefunga Kilinge umegeukia Neno nos stop. Muda si muda utakuwa na kituo cha Neno wewe na au maarifa ya utambuzi kama kile cha Marehemu Munga Tehenan. Ukikifungua tu tuambizane.
Ulipata kumfahamu Marehemu Tehenan? Mawazo yenu mngepatana sana.[emoji2] Kituo ni ndoto kubwa ijayo.. Lakini muda haujatoa kibali..[emoji1545]
Dooh haifunguki ni nini hiyo [emoji19][emoji19]
Weee...akiniombea mama inatosha
Nakutumia whatsappDooh haifunguki ni nini hiyo [emoji19][emoji19]
Ooh nitashukuru sana [emoji120][emoji120]Nakutumia whatsapp
DoneOoh nitashukuru sana [emoji120][emoji120]
Ule mlima pale Mvuha unaitwa Chamanyani.Chief kweli kabisa nilifika Kisaki, yaani ile barabara acha kabisa, then watu wanasema Kitonga hatari, unazionaje zile kona za Mvuha??
Thanks [emoji4][emoji4]Done
Nilihisi hivyo!Nilikuwa mwanafunzi wake, by the time tukiwa kwenye mchakato wa kuunda Familia ya Jitambue akatwaliwa[emoji25]
Halafu alikuwa mwandishi mzuri sana. Riwaya yake ya Rais wa Kesho ni mojawapo ya riwaya pevu na bora kabisa katika fasihi ya Kiswahili. Aendelee kupumzika salama!Nilikuwa sikosi magazeti yake na vipindi vyake