Habari za muda huu ?Hamjambo humu
Safi kabisa.Habari za muda huu ?
Njema sana pande hizi ..Safi kabisa.
Za siku
Chief Matombo ya Morogoro!?Wale wa Kibungo Matombo.View attachment 2093340
Yaaa, Mkuyuni, Kibungo, Kibangile, Matombo.Chief Matombo ya Morogoro!?
Nakumbuka hiyo barabara niliwahi kuendesha nikaishia mbele kule kama unakwenda Selous, ilikuwa vumbi tu! Vipi sahv iko vizuri?Yaaa, Mkuyuni, Kibungo, Kibangile, Matombo.
Karibu.


