Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
😎😎😎 Ningekufa huku nakula raha ☺️☺️Wewe wewe na unjuka wako huo??? Ungekua expert wahizo ishu at least!! Siriazi Wangekuaa!
😎😎😎 Ningekufa huku nakula raha ☺️☺️Wewe wewe na unjuka wako huo??? Ungekua expert wahizo ishu at least!! Siriazi Wangekuaa!
🤣🤣🤣🤣! Sijui ungejibu nini kwa maulana!😎😎😎 Ningekufa huku nakula raha ☺️☺️
Ningemuambia tu sorry daddy Mungu ☺️☺️🤣🤣🤣🤣! Sijui ungejibu nini kwa maulana!


😅😅😅😅😅 unawinda kondoo waliopotea au sioNapo ni duniani.. hata Yesu alikaa na makahabaa.. tunaenda kwa kondoo waliopotea 😭😊😊😊 ili tuwarudishe zizini
Hiki kinyiha au lugha ganiMulipooo?![]()
🤣🤣🤣🤣🤣! Una utani na baba muumba wewe! Huo moto unaochezea ipo siku utakuunguza!Ningemuambia tu sorry daddy Mungu ☺️☺️
Anabaki kuwa baba tutu, na hakuna baba katili kwa mwanae, japo kwa kitambo kidogo anaweza chapa fimbo🤣🤣🤣🤣🤣! Una utani na baba muumba wewe! Huo moto unaochezea ipo siku utakuunguza!
😁😁😁 natafuta kondoo wapotevu, niwarudishe zizini😅😅😅😅😅 unawinda kondoo waliopotea au sio
😎😎 Biblia inasema katika Mathew 28: 18 KJV And Jesus came and spake unto them, saying, All power is given unto me in heaven and in earth...Ndio kazi yake ye si ndio baba wa uongo...ati mmeambiwa msile matunda ya miti yote ya bustani?![]()
Tabia yako sijaipenda hataNilikua naona kimya kumbe mpo 🤣🤣🤣!!
Dah naona leo full upako barikiwa mtumishiBiblia inasema katika Mathew 28: 18 KJV And Jesus came and spake unto them, saying, All power is given unto me in heaven and in earth...
all power belongs Jesus.. power power.. shetani hana kitu he is powerless siraha yake kubwa ni deception.. that God said watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.. shetani ana mtrick mtu kwa kitu asichojua ili amjaze kingi, na ukiingi kingi unampa nguvu zako kama Adam na Eva walivyo fanya na kuanza kukuendesha.. power power x 4
![]()
Kinyiha hicho si ndio Saint AnneHata sijui eti![]()
SituliiiTulia basi 😎
Punguza wengeUmeamshwa na kimokoo nini ☺️☺️
😁😁😁Utatulizwaa basi kama hutulii ☺️☺️
eee usiniambiehahaha anafaidi anae muamsha
Nipe location msukumaNjoo tufaidi wote Muree….
Ishi kwa kuaa uwepo mwa Mungu kila siku.. na utaona matokeo yake.. maana biblia inasemaDah naona leo full upako barikiwa mtumishi