Selfika na JF: Snap it. Show it

Wenyewe wakisikia unalalamika mumeo ni kama Nabali, ndiyo wanapata ahueni. Angalau na kwako kunawaka moto kama kwao
Raha kuishi nao mbalii.. na hakuna mazoea mazoe ya ajabu kwenye famili mpyaaa πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. mnakuwa wakali kama pilipili kichaaa.. ndio mtafurahia maisha.. mawifi wengine nomaaa tupu
 
hayachoshagi kama location zinakuwa changed, chakula safi, ka movie flani hivii.. mkazikii flani hivi utani mwanzo mwishoo.. yaaani ni
Weeehhhhh!! Kwenye hii baridi huo muda wa kuanza kuchange location upo sasa??? Kwanza hamtamani hata kuamka hapo ni kuchikuchi hotahae humohumo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…