Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Njoo nikupige ban.
Njoo nikupige ban.
Hahahaha kwani ban inafuatwa mkuu?? Mbona sioni kikombe hapo mbele ya username yako??Njoo nikupige ban.
Hahahaha kwani ban inafuatwa mkuu?? Mbona sioni kikombe hapo mbele ya username yako??
Sijawahi kuwaelewaga waleviView attachment 1232651
Nime "like"Arosto ya msiba... Umeona chombo ya fundi iyoView attachment 1233298

Unataka hii sura ya baba yangu niiweke humu?![]()
Aliyeshika chupa kakaaa ki kamanda kabisa.Nipo katikati ukiangalia kwa jicho mojaView attachment 1233291
Hicho hichoKikombe cha kahawa au?
Mbona naona kasimama mkuu??Aliyeshika chupa kakaaa ki kamanda kabisa.
Situmii kahawa boss .Hicho hicho
HahahahaAiiiii, nakutumia pm
Siwezi thubutu rafikiOle wako!
Daah pole sana mkuuSitumii kahawa boss .
Daah pole sana mkuu
kwa wale wanaolijua vizuri jiji la mwanza washajua hii ni view toka kiwanja gani.
hii ni jana mida ya alasiri.
unaweza kutaja jina la kimiminika kinachoonekana kwenye glass?. ukipatia nakuunga kwenye bandle la 2GB la mtandao wowote wa simu unaotumia katika data hapa tanzania.
View attachment 1227989
Oohh siyo mbaya hata hapo haujafeli sana bossNatumia tu maji na maziwa ya moto