Leo upo forodhani,nakuona wala urooojo
Yeuyeeee π₯°π₯°π₯°π₯°ππ
Bonβgoa ntakupa laki 2.Nyani upo brother?
Nina shida na laki aisee naomba unisaidie ama unikopeshe ikikupendeza?
Asahivi anaenda kuitwa mmbwa koko mda si mrefu, nasubiri Maxence Melo abadilishe ππSasahivi 9.8ms squared anaitwa nani ???
NimechekaAsahivi anaenda kuitwa mmbwa koko mda si mrefu, nasubiri Maxence Melo abadilishe
na hapa umeona nini πππ..Ameeeeeeen!!
Bwasheee habari ya mpambano.. sikuwepo nilikuwa nashona mkeka wangu πππNimecheka
Ivory coast
Wakatia goli la nne
Salama kabisaBwasheee habari ya mpambano.. sikuwepo nilikuwa nashona mkeka wangu
Nafurahi kusikia hivyo kaka mkubwa.. mdogo wako nipo napambanaaa aseeSalama kabisa
Nalisongesha mdo mdo
mkeka ulikuwa unashwona vozurii πππ..cocastic 9.8ms squared mmetingwa nanini???
HaibishaniwiNafurahi kusikia hivyo kaka mkubwa.. mdogo wako nipo napambanaaa asee
πππ kamba iambayo haijfungwa kwenye gingi ndio mpango mzimaHaibishaniwi
Ni kula
Kwa urefu wa kamba yako
Hakikakamba iambayo haijfungwa kwenye gingi ndio mpango mzima
Na ku recomend Stefano Mtangoo kwenye project yako ile, alikuwa mwalimu wangu wa java, php kitu kama sikosei C++ pamoja na API.. sema ndio niliachana na hayo nikawa tapeli tuu wa mjinj. but on serious work mpe jamaa ana hofu ya Mungu, ana mpenda Mungu na ni muaminifu.. utafurahi kufanya nae projectAsante sn mkuu,Mzee wa bata,Mr coffee π
Nimeshangaa naitwa kwenye uzi ambao hata siuelewei. Imebidi kusoma kama mara tatu hivi kuelewa kinachoendelea.Na ku recomend Stefano Mtangoo kwenye project yako ile, alikuwa mwalimu wangu wa java, php kitu kama sikosei C++ pamoja na API.. sema ndio niliachana na hayo nikawa tapeli tuu wa mjinj. but on serious work mpe jamaa ana hofu ya Mungu, ana mpenda Mungu na ni muaminifu.. utafurahi kufanya nae project
Unashusha seriesTaking advantageView attachment 2089570
Najua ngumu kweli kunikumbuka, wengi tumepita mikononi mwako. Ila ni mmoja ya wanafunzi wako, umenifundisha C++ from zero paka advance level, umenifundiaha PHP OOP, ukanifundisha Yii, umenifundisha JAVA na umenifunidishaa API.. Nilikaa kitengo kwa ujuzi ambao nilipata nashukuru paka sasa hivi sio mtupu kwenye field.. nakumbuka mala ya kwanza kunifundisha ulinianzia na geany.. hadi leo ndio huwa nakatumia.. Asante kwa moyo mweupe katika kujenga na kuhamisha maarifaaa.. kwa wengine kwa moyo uliokunjuka.. sikupambi hataa.. najua moyo wako kwa kipindi ambacho ulikuwa unanifundisha.. na kufundisha wengine.. nipo kwenye field.. hapo jamaa yangu nilikuwa namtamia tu kuwa nimekuwa tapeli tapeli ππc. c Satoh HiroshNimeshangaa naitwa kwenye uzi ambao hata siuelewei. Imebidi kusoma kama mara tatu hivi kuelewa kinachoendelea.
Nashukuru sana boss kwa recommendation. Nashindwa kukumbuka ni mwanafunzi yupi maana nimefundisha wengi kweli kweli.
Rudi kwenye code aisee! Hata kwa hobby π
Dah, nimeshindwa kabisa kukumbuka.Najua ngumu kweli kunikumbuka, wengi tumepita mikononi mwako. Ila ni mmoja ya wanafunzi wako, umenifundisha C++ from zero paka advance level, umenifundiaha PHP OOP, ukanifundisha Yii, umenifundisha JAVA na umenifunidishaa API..
Najisikia raha sana kusikia upo mahali kwa ujuzi niliokufundisha. Heartily congratulations!Nilikaa kitengo kwa ujuzi ambao nilipata nashukuru paka sasa hivi sio mtupu kwenye field..
Sasa umwache babu geany jumba la makumbusho. Mrithi wake ni VS Code!nakumbuka mala ya kwanza kunifundisha ulinianzia na geany.. hadi leo ndio huwa nakatumia..
It's my honor boss!Asante kwa moyo mweupe katika kujenga na kuhamisha maarifaaa.. kwa wengine kwa moyo uliokunjuka..
I know!sikupambi hataa.. najua moyo wako kwa kipindi ambacho ulikuwa unanifundisha.. na kufundisha wengine..
Safi sana! Tuendelee kulisongesha!nipo kwenye field.. hapo jamaa yangu nilikuwa namtamia tu kuwa nimekuwa tapeli tapeli ππ