Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,326 Jan 19, 2022 #139,781 mtu chake said: sawa rafiki,home si pale pale ? Click to expand... Ndio rafiki..
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 19, 2022 #139,782 Pep said: Wewe ni mtu sanaChakorii.. Zawadi yako nimeificha moyoni...nadhani utazimia siku ukiitia mkononi Click to expand... Chakorii nakukumbusha kuwa una zawadi yako kwa mtu. Usiseme sikukumbusha🏃♀️
Pep said: Wewe ni mtu sanaChakorii.. Zawadi yako nimeificha moyoni...nadhani utazimia siku ukiitia mkononi Click to expand... Chakorii nakukumbusha kuwa una zawadi yako kwa mtu. Usiseme sikukumbusha🏃♀️
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 19, 2022 #139,783 9.8ms squared said: Nimeisha secreenshot ☺️☺️ Click to expand... Sijaona
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,593 Reaction score 119,715 Jan 19, 2022 #139,784 Makiwendo said: Kwani ni nini unawinda hapa tangu asubuhi Mzee mwenzangu? Nimekusoma muda tu ni unalalamika hadi siyo poa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tangu lini umekuwa mzee mwenzangu? Sina ninachowinda shem wangu...na uzee huu naanzaje kuwinda!
Makiwendo said: Kwani ni nini unawinda hapa tangu asubuhi Mzee mwenzangu? Nimekusoma muda tu ni unalalamika hadi siyo poa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tangu lini umekuwa mzee mwenzangu? Sina ninachowinda shem wangu...na uzee huu naanzaje kuwinda!
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 19, 2022 #139,785 Saint Anne said: Chakorii nakukumbusha kuwa una zawadi yako kwa mtu. Usiseme sikukumbusha🏃♀️ Click to expand... Naomba mikwambie tu..mimi na big sisy Heaven Sent tunamkubali mno shemeji yetu Pep .hiyo ni taarifa fupi tu
Saint Anne said: Chakorii nakukumbusha kuwa una zawadi yako kwa mtu. Usiseme sikukumbusha🏃♀️ Click to expand... Naomba mikwambie tu..mimi na big sisy Heaven Sent tunamkubali mno shemeji yetu Pep .hiyo ni taarifa fupi tu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 19, 2022 #139,786 Chakorii said: Naomba mikwambie tu..mimi na big sisy Heaven Sent tunamkubali mno shemeji yetu Pep .hiyo ni taarifa fupi tu Click to expand... Mimi nasubiri tu atoe hiyo zawadi yako halafu nitakuwepo pembeni kukupepea maana amesema utazimia. Asante kwa taarifa🤣
Chakorii said: Naomba mikwambie tu..mimi na big sisy Heaven Sent tunamkubali mno shemeji yetu Pep .hiyo ni taarifa fupi tu Click to expand... Mimi nasubiri tu atoe hiyo zawadi yako halafu nitakuwepo pembeni kukupepea maana amesema utazimia. Asante kwa taarifa🤣
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 19, 2022 #139,787 ERoni said: Ishakuwa mchana madam Chakorii!! Click to expand... Kwahiyo nimeshakuwa madam tayari😀 Hebu niambie basi na wewe Sir ERoni
ERoni said: Ishakuwa mchana madam Chakorii!! Click to expand... Kwahiyo nimeshakuwa madam tayari😀 Hebu niambie basi na wewe Sir ERoni
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Jan 19, 2022 #139,788 ERoni said: Tangu lini umekuwa mzee mwenzangu? Sina ninachowinda shem wangu...na uzee huu naanzaje kuwinda! Click to expand... Tangu mwaka huu uanze Tumekuwa kundi moja Vya kuwinda vipo vingi Shem.. tena na Uzee huo inakuwa rahisi kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
ERoni said: Tangu lini umekuwa mzee mwenzangu? Sina ninachowinda shem wangu...na uzee huu naanzaje kuwinda! Click to expand... Tangu mwaka huu uanze Tumekuwa kundi moja Vya kuwinda vipo vingi Shem.. tena na Uzee huo inakuwa rahisi kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 19, 2022 #139,789 ERoni said: Tangu lini umekuwa mzee mwenzangu? Sina ninachowinda shem wangu...na uzee huu naanzaje kuwinda! Click to expand... Elli una umri sawa na wa shem wangu.
ERoni said: Tangu lini umekuwa mzee mwenzangu? Sina ninachowinda shem wangu...na uzee huu naanzaje kuwinda! Click to expand... Elli una umri sawa na wa shem wangu.
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 19, 2022 #139,790 Saint Anne said: Mimi nasubiri tu atoe hiyo zawadi yako halafu nitakuwepo pembeni kukupepea maana amesema utazimia. Asante kwa taarifa🤣 Click to expand... Hiyo zawadi ya kuzimia ni wewe kufunga ndoa takatifu na Pep mheshimiwa bibi harusi
Saint Anne said: Mimi nasubiri tu atoe hiyo zawadi yako halafu nitakuwepo pembeni kukupepea maana amesema utazimia. Asante kwa taarifa🤣 Click to expand... Hiyo zawadi ya kuzimia ni wewe kufunga ndoa takatifu na Pep mheshimiwa bibi harusi
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 19, 2022 #139,791 Saint Anne said: Heee😥 Click to expand... Ndio
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 19, 2022 #139,792 Saint Anne said: 🤣🤣🤣🤣 Kweli mpo kwenye muendelezo wa kunihujumu Click to expand... Tena uhujumu huu ni mzito sana
Saint Anne said: 🤣🤣🤣🤣 Kweli mpo kwenye muendelezo wa kunihujumu Click to expand... Tena uhujumu huu ni mzito sana
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 19, 2022 #139,793 Saint Anne said: 🤣🤣🤣🤣 Mmempenda sana Pep eeh? Click to expand... Ndio... Shemeji yetu Pep tu nakupenda sana. Hafu we dogo mbona kama unapiga dhahabu teke
Saint Anne said: 🤣🤣🤣🤣 Mmempenda sana Pep eeh? Click to expand... Ndio... Shemeji yetu Pep tu nakupenda sana. Hafu we dogo mbona kama unapiga dhahabu teke
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,593 Reaction score 119,715 Jan 19, 2022 #139,794 Chakorii said: Kwahiyo nimeshakuwa madam tayari Hebu niambie basi na wewe Sir ERoni Click to expand... Yani nimeahirisha hadi siwezi tena kusema!
Chakorii said: Kwahiyo nimeshakuwa madam tayari Hebu niambie basi na wewe Sir ERoni Click to expand... Yani nimeahirisha hadi siwezi tena kusema!
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,593 Reaction score 119,715 Jan 19, 2022 #139,795 Makiwendo said: Tangu mwaka huu uanze Tumekuwa kundi moja Vya kuwinda vipo vingi Shem.. tena na Uzee huo inakuwa rahisi kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwa hiyo mwaka huu umeuanza na uzee, thibitisha kwamba umekuwa mzee..thibitisha shem
Makiwendo said: Tangu mwaka huu uanze Tumekuwa kundi moja Vya kuwinda vipo vingi Shem.. tena na Uzee huo inakuwa rahisi kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwa hiyo mwaka huu umeuanza na uzee, thibitisha kwamba umekuwa mzee..thibitisha shem
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 19, 2022 #139,796 Chakorii said: Ndio... Shemeji yetu Pep tu nakupenda sana. Hafu we dogo mbona kama unapiga dhahabu teke Click to expand... Dah! Msinisimange basi.🙈 Kwanza unaijua hiyo zawadi anayoisema??
Chakorii said: Ndio... Shemeji yetu Pep tu nakupenda sana. Hafu we dogo mbona kama unapiga dhahabu teke Click to expand... Dah! Msinisimange basi.🙈 Kwanza unaijua hiyo zawadi anayoisema??
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,593 Reaction score 119,715 Jan 19, 2022 #139,797 Saint Anne said: Elli una umri sawa na wa shem wangu. Click to expand... Siwezi kuwa umri sawa na shem wako, mimi ni uncle wako tafadhali
Saint Anne said: Elli una umri sawa na wa shem wangu. Click to expand... Siwezi kuwa umri sawa na shem wako, mimi ni uncle wako tafadhali
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 19, 2022 #139,798 Sitakubalj hizi hujuma za wazi juu ya kaka yangu wa damu. Chakorii said: Tena uhujumu huu ni mzito sana Click to expand...
Sitakubalj hizi hujuma za wazi juu ya kaka yangu wa damu. Chakorii said: Tena uhujumu huu ni mzito sana Click to expand...
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,131 Jan 19, 2022 #139,799
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 19, 2022 #139,800 ERoni said: Siwezi kuwa umri sawa na shem wako, mimi ni uncle wako tafadhali Click to expand... 😂😂😂 Unajiona mkubwa Elli...Dada yangu wa kwanza alkuwa wa 76,wa pili wa 82...huyo mumewe sasa ndio ana umri sawa na wako. Sema unaweza tu kuwa Anko wangu🤗 japo anko wangu ni wa 45
ERoni said: Siwezi kuwa umri sawa na shem wako, mimi ni uncle wako tafadhali Click to expand... 😂😂😂 Unajiona mkubwa Elli...Dada yangu wa kwanza alkuwa wa 76,wa pili wa 82...huyo mumewe sasa ndio ana umri sawa na wako. Sema unaweza tu kuwa Anko wangu🤗 japo anko wangu ni wa 45