Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hivi Mr Paul yuko wapi siku hizi?
Mimi huwa nafunga na kusali huyo shetani asije kunipitia..huo msala sitauwezaπMara paap najichanganya kupost sura langu la kinyaki khaa
Huyo dada anahitaji kupigwa pigwa msasa wa darasa.
Yupo Australia anaishi huko na mke wake mzungu ππHivi Mr Paul yuko wapi siku hizi?
π€£π€£π€£π€£ππhebu urudie
Basi nitamtuma soon akuletee, ila risiti yangu nitunzie [emoji87][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Huyo dada anahitaji kupigwa pigwa msasa wa darasa.
Siwezi pokea zawadi nimekaza kiuno namna hiyo...lazima nibend kidogo mtoto wa kike[emoji3059]
Hapo kwenye kuwafunga Yanga mnanifurahisha. Ili kufanikisha ushindi wenu Kwa Yanga naomba niwasapoti Kwa kujitolea Chakula Cha siku Moja Kwa Wachezaji na Benchi la ufundi.Na bado, tunawangoja Yanga tuwashone
ππππ!Hii imenipita. Halafu ina mpasuo dah! [emoji51]
Ahsanteeee
Umewalisha wenzio matango pori ujue!!Mpasuo ule[emoji39]
Vidole fulani hivi[emoji3]
Amazing[emoji1787]
Karibu tena mkuu [emoji4][emoji4]View attachment 2086796
Kyala Mnunu
Ndaga
Ughonile mala fyale
Nikija mara mbili, Tatu huku lazima nikamilishe uandishi wa Kamusi ya Kinyaki [emoji123][emoji123][emoji123]
CC
Heaven Sent
Karma
Saint Anne
Bujibuji Simba Nyanaume
mkuu sitaki kumwagiwa maji ya motoπππ acha nibebike mie...
πππmaji moto yatoka wapi tena jamaniiimkuu sitaki kumwagiwa maji ya moto