Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,417
Umeweka??? Ngoja nichekiSawa sawaπππ
Mie tena πUmeweka??? Ngoja nicheki
Aah tutafanyaje sasa na watu wanaweka tukiwa hatupo ila tukiwepo hapa kutwa nzima hatuambulii kitu [emoji19][emoji19]Kupitwa na picha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba niko kwa kundi gani [emoji1][emoji1]Hahahaahahahahahaha
Mimi nakuelewa
Aahh!wewe bwana acha zako[emoji1][emoji1][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kweli kabisaa dear wanaume wetu hawanaga makuu [emoji4][emoji4]Kiukweli mko vizurrii!na mwanaume wa kinyaki wako very responsible wengi wanajielewega sana!ingawa I never dated but my fellows nawaona wanavoinjoi!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja
Wanaume wa kinyaki ni balaaa .
Hilo niachie mimi hahahaaha.Kwamba niko kwa kundi gani [emoji1][emoji1]
Aah tutafanyaje sasa na watu wanaweka tukiwa hatupo ila tukiwepo hapa kutwa nzima hatuambulii kitu [emoji19][emoji19]
Kama lugha gani???Ili twende na ukweli jamani kuna lugha zingine ngumu nashindwa kwenda na upepo wenu humu, najitahidi hivyo hivyo
Mpo vizuri jamaniWeuweeeeeeeeeeeee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
AMEN AMEN AMEN[emoji120][emoji120][emoji120]Mpo vizuri jamani
mzidi kuwa na upendo huo huo .
Aiseee Sisi wa pwani tunachkuliwa poa sana duhMpo vizuri jamani
mzidi kuwa na upendo huo huo .
Happy New Year mpendwa.... Hako ka tag kalikuwa na nini eti? ππ
Sawa sawa rafiki [emoji1][emoji1]Hilo niachie mimi hahahaaha.
Nakuelewa sana wewe mtu na mapigo yako
Swali lake ni jibu... Unanipa picha hunipi??Weuweeeeeeeeeeeee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Dooh basi labda huwa nakuwa nimetoka huku niko kwenye uzi mwingine [emoji19][emoji19]Nyingine zinakupita hapahapa nkamu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Kidogo nkuite lakini nkasema Duh nsije nkatolewa baru maana.......Happy New Year mpendwa.... Hako ka tag kalikuwa na nini eti? ππ
Utolewa baru na nani? Nimefika, niambie..Duh! Kidogo nkuite lakini nkasema Duh nsije nkatolewa baru maana.......