Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Hehehehehehehe
Ngoja tu nihitimishe kuwa picha mimi hazinihusu[emoji1787][emoji1787]
Ngoja tu nihitimishe kuwa picha mimi hazinihusu[emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]yapaswa tujikubali tushakua maji ya jioni tunaselfika hvyo hvyo!Mhenga mwenzangu unanipa motisha ya kuselfika. Maana nilikuwa tu na under-age kina Anne
HahahaahahahahHii nilikuwa silewi kabisa hata ninywe dazeni mbili.
Siku ukipata nafasi jaribu hii IPA hapa halafu ulete mrejesho!
View attachment 2085944
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]looh!inauma balaaDaah inasikitisha sana [emoji1][emoji1]
Yaani we acha tu
Ni mtanzikoUsiombe upitwe afu upo hapahapa[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] si ndio hapo, unauliza kama hujui kuwa mimi no babe wa kila mtu...huwa simnyimi mtu mimiAsilan abadan. Mimi na wewe tenaa
Mimi nimefurahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HS[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aki ya nani.
Mchungaji lazima utakuwa una matatizo.Alishakengeuka huyo, sio muumini wangu tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Maumivu yake ni sawa na ya kuleftishwa kwenye group huku ukiwa unataipu majibu ya matusi uliyoporomoshewa na memba mkorofi wa group....[emoji16][emoji16]Usiombe upitwe afu upo hapahapa[emoji23][emoji23]
Eeh!si ndo tunaambiwaga hvyoo![emoji2][emoji2]tuna sura mbovu wadada wa jf woteee basi ndo sisi sura za baba
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Weee![emoji1][emoji2][emoji2]Nimesave na kuscreen-shot juu
Sasa nini??? Hahahaahahahahaah
Au nkikutumia ni kweli hutompa???
Aiseeee ntainunua kwa gharama kubwa sanaMhenga mwenzangu unanipa motisha ya kuselfika. Maana nilikuwa tu na under-age kina Anne
Aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] si ndio hapo, unauliza kama hujui kuwa mimi no babe wa kila mtu...huwa simnyimi mtu mimi
Tunashukuru dada sisi somo la upendo kwenye maandiko ndiyo lilituingia zaidi [emoji120][emoji120]
Hahaaaaaa!!![emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]loooh!jamaniiiMaumivu yake ni sawa na ya kuleftishwa kwenye group huku ukiwa unataipu majibu ya matusi uliyoporomoshewa na memba mkorofi wa group....[emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787]Maumivu yake ni sawa na ya kuleftishwa kwenye group huku ukiwa unataipu majibu ya matusi uliyoporomoshewa na memba mkorofi wa group....[emoji16][emoji16]