Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Hawezi kunichamba mdogo anguKwendaaaa
Ngoja aje,tunakuchamba leo
Hawezi kunichamba mdogo anguKwendaaaa
Ngoja aje,tunakuchamba leo
Wanaselfika tuungane kwa pamoja kupinga vikali uhujumu wa picha unaoendelea hapa
Subiri uone tunavyopeana backup.Hawezi kunichamba mdogo angu

Bora umekuja tumchambe HS.Sifanyi kitu mbona![]()

Kila mtu ako na bahati yake mamaMbona umekuja tumchambe HS.
Haiwezekani tunafunga na kuomba kwa ajili ya kutupa picha ila amenyima,amewapa wengine![]()


Mimi je?! Hivi binamu Mimi kweli wa kunifanyia hvii?!!!Acha upambe basi. Mtumie na Saint Anne analia kweli amepitwa



Mimi ntakua nawapa morning glory tu kuanzia Leo!!!wavivu kuamka watajiju!!!
Wanaselfika tuungane kwa pamoja kupinga vikali uhujumu wa picha unaoendelea hapa
Wewe mtu wa pwani eeh?Chart na pichaView attachment 2085188
Anakusalimia pia
Watu wanapost picha, dk mbili sio nyingi wanafuta.Wanaselfika tuungane kwa pamoja kupinga vikali uhujumu wa picha unaoendelea hapa
Ninyi ndio wenye haka kalugha ka 'mama mzazi' 'baba mzazi' ...huwa najiuliza hivi ukisema mama tu haiwezi kueleweka?Ndiyo
Kwanini umeniuliza hivyo?
Ila nkamu kwa leo sina hatia kabisa. Umepost, ndani ya dk 5 nimeku-quote na picha 2 kumbe umeshasepaKila mtu ako na bahati yake mama![]()
Mimi na wewe tena binamuMimi je?! Hivi binamu Mimi kweli wa kunifanyia hvii?!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nilikuwa safarini nkamuIla nkamu kwa leo sina hatia kabisa. Umepost, ndani ya dk 5 nimeku-quote na picha 2 kumbe umeshasepa
Nilikuwa safarini nkamu
Na ndiyo maana sijakulaumu hata
Kwa hiyo umetupia hapa?Oooh kweli nkamu. So umefika salama?