Selfika na JF: Snap it. Show it

Marafiki wa jf sasa, utasikia cute b tutoke wikiend nikutoe out ule unywe... Mimi nacheka tuu kihutu hi hi hi hi.
Nikiwaambia mimi kutoka usiku siwezagi wananinunia
mfano Hazard CFC.
Halafu mtu anaweza hisi unaringa kumbe masikini hayo mambo huyawezi tu
 
.
Haki wewe kiboko.
Wenzako wanaagiza bia wewe unaagiza maji
Tulipangaga ka party ka kufunga mwaka ka staff, sasa mimi ndio nilikuwa organizer imagine


Basi nikapanga vinywaji viwiliviwili, wanywa pombe walinimind acha kabisa. Wakaniambia mie mywa maji ningewaambia waniletee maji yangu na dumu la lita5 ila wao niwapangia vinywaji vya kutosha


Nikapigwa marufuku kuorganize tena party yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…