Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ndo hata sijawahi jamani
Sasa mimi na wewe na Atoto itabidi outing zetu iwe ni kutembeleana nyumbani.
Hamna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh hadi kwenda ni tabu unaagiza boda boda[emoji23].
Kwa kweli tubakie tuu hivi hivi maana ni vipaji hivo nadhani.
Tujifungie tu ndani maana hamna namna.

Mie sasa hata sherehe naonaga kero, nikienda lazima niwahi kurudi nyumbani[emoji134][emoji134]
 
Mirinda nyeusi? [emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaaaaa.
Vile mbili tuu tumbo linajaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiwooo, mirinda nyeusi tuuu jamani!! Ni tamu ila humalizi mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…