CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
HawakunipaWatumishi wenzangu Chakorii na HS watakupa mwongozo
ooh nilijua unatupia ww nikataka kusema j3 imeanza vzrNasubiria aliyesema atatupia rafiki
Nimecheka sana🤣🤣🤣Hakuna cha kwamba
Makuubwa mpk wewe umekosaa[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2084514
Stakiiiiiii,niache nirudi na babaaaa. Usiombe hii hatua ndio unawahi job na dogo anagoma kuachwa shule.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2084541View attachment 2084542
Imekuwa zaidi ya kazi kumuacha dogo... analia na wewe unahisi maumivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stakiiiiiii,niache nirudi na babaaaa. Usiombe hii hatua ndio unawahi job na dogo anagoma kuachwa shule.
Hongereni sana waalimu wote mnaoipenda kazi yenu na kuwapa watoto wetu upendo na maalifa.
Next time nitakushtua rafikiYaani usiku wote nilikuwepo Jf ilikuwaje nikapitwa na hii
Hakuna hujuma mama mchungajiMjep umenihujumu jana🤣
Umesubiri nilale ndio upost vocha😁
Mkuu nicheck dm 🙏[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2084514
Wa wapi hao [emoji16]Uko na wakufunzi wako humu!
Nini tena dada [emoji28][emoji28]Hata mimi haijaniingia akilini
Mimi ndiyo nimezikuta Dodoma kwa mara ya kwanza. Zinauzwa 1300.Sha zikuta hizi kaskazini hapo zinauzwa buku buku,,, sitaki kabisa kumbuka usiku ule.
Tangu lini umeanza kunihujumu?,[emoji19]Hakuna hujuma mama mchungaji
Ulaumu usingizi wako tuu[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imekuwa zaidi ya kazi kumuacha dogo... analia na wewe unahisi maumivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hujuma tu hizi nafanyiwa[emoji19]Makuubwa mpk wewe umekosaa[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Tobaaaaah weee nimepitwa hivi hivi? Naomba irudiwe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji11]kumbee!!!imeishaa hyooo!wife materials sura za baba!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu umefuta picha mlongo, kwann sasa? Hebu tukutane kwa Mzee wa Ruangwa, ukasababishe jambo. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Balaa kabisaa!wengine shepu za kabati!sura za baba!ngozi ya mamba!!![emoji38]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mwenyewe nakumbuka niliwahi kulia.
Tena form one.