Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
πππ nilitoka salama, ila nikiwa hoi sanaaaa.. maamuzi mazito ilibidi yafanyike kujiokoa aseee.. kuhamuka peke yangu haikuwa kazi rahisiπ€£π€£π€£π€£ Jana ukajiachia kwaraha zakoooo!! Ulitoka salama kweli??? Hakii utafika hujiwezi!
π₯²[emoji4]
Fanya kama whatsapp kabla sijaondokaπ₯²π
Tupia Nkamu tunahamu na selfie yako ujueJamani hakuna selfika za kijumapili na kitumishi leo?[emoji57][emoji57][emoji57]
Tupia Nkamu tunahamu na selfie yako ujue
Hakikisha ahadi hii unaitimiza NkamuNkamu mbona niliselfika tayari, sijui ulikuwa wapi. Anyway ntaselfika na ya kitumishi leo
Hongera sana boss, mwalimu kwangu amebaki kuwa mtu wa pekee kabisa, maana pamoja na majaliwa ya Mungu lakini mwalimu ndio amewezesha kuwa hapa tulipo.Mi nilichimba mkwara nilipokuwa darasa la 5 kuwa naondoka home kimoja. Hii ilikuwa ni baada ya kupokea kichapo hevi kwa kitu ambacho nilidhani halikuwa kosa langu. Nikaambiwa hata ukiondoka sisi wala hatutahangaika kuja kukutafuta. Dah! Nikaona hawa watakuwa wanatania hawa! Last born kweli nikafanya yangu. Miezi 6 siko home na hakuna aliyekuja kunitafuta mbali tu na kusikia habari kuwa mama yako anakutafuta sana. Mpaka bro mmoja mjeshi akaja likizo ndo akaja kunisaka nilikokuwa + kichapo hevi nikarudishwa shuleni mzobe mzobe. Mwalimu mkuu naye kumbe ana usongo kwa sababu nilikuwa nashika namba wani darasani. Napo kichapo hevi akanipa na cheo cha kuwa time keeper shuleni ili nisiwe mtoro tena. Ndo ikawa pona yangu. Mtihani wa darasa la 7 enzi zile vigumu kweli kwenda sekondari tukachaguliwa watu wawili tu pale kijijini! [emoji1545][emoji1545]
Kisa hiki kilinikomaza sana na nimeweza kutembea zaidi ya nchi 16 katika mabara yote ya dunia hii isipokuwa Australia na Antarctica bila woga wala nini. Na mpaka leo naweza kwenda po pote bila woga.
Mwaka 2017 nikakutana na yule mwalimu mkuu nikamkumbusha kisa kile alicheka sana. Ila nilimshukuru mno kwa kunikomalia kusoma....
Kwa hivyo last born wengine siyo wa mchezo mchezo aisee [emoji16][emoji16][emoji91][emoji123][emoji123]
Selfika mkuu nimemiss selfie zako nimeambulia za uso tu hapaHahahaaa.... ! Yanarun dunia!
Yanaweza kukufanya kuwa crazy ππHahahaaa.... ! Yanarun dunia!
Unaonaje ikianzia wewe mama mchungaji,uipe baraka jumapili hii tulivu?!Jamani hakuna selfika za kijumapili na kitumishi leo?[emoji57][emoji57][emoji57]
Eti eeh?Unaonaje ikianzia wewe mama mchungaji,uipe baraka jumapili hii tulivu?!
Umechelewaaa watu wametupia mambo motttooo!!Selfika mkuu nimemiss selfie zako nimeambulia za uso tu hapa
Pole sana!! Sometimes kujichanganya kuna refresh akili.[emoji3][emoji3][emoji3] nilitoka salama, ila nikiwa hoi sanaaaa.. maamuzi mazito ilibidi yafanyike kujiokoa aseee.. kuhamuka peke yangu haikuwa kazi rahisi
Na wewe tupia basi mkuuUmechelewaaa watu wametupia mambo motttooo!!
Leo Sina ya kutumishi rafiki!Na wewe tupia basi mkuu
Na ahadi ni deniHakikisha ahadi hii unaitimiza Nkamu
Kabisa yani afadhali umemkumbushaNa ahadi ni deni
Ya kiutumishi mama mtumishi atawekaLeo Sina ya kutumishi rafiki!