Selfika na JF: Snap it. Show it

Unajua saivi umekuwa role model wangu kwenye hiyo sekta ya kutoa bakshishi, kwahiyo Mimi pia nitakuwa nadai risiti kuanzia Mwaka huu 😀
Receipt muhimu sana, kama hana receipt au machine ya EFD hakuna kupewa pesaaa 😂😂😂😂 na kama akipewa iwe chini ya 100,000.. muambie mama pastor akupatie receipt ya jana
 
Pambaff, kumtesa tu mama Shimba. Ungekuwa unapiga manju hadi muda huu.

Sijui kwa nini mnapenda kututisha tisha nyie last born


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…